Kwanini CHADEMA imekuwa kama chama tawala? inapigwa vita na CCM, CUF, UDP nk? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CHADEMA imekuwa kama chama tawala? inapigwa vita na CCM, CUF, UDP nk?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 3, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  Kwa hari ya kisiasa niionavyo sasa naona kama vile Chadema ndio chama tawala na kila kona ya nchi hata vyama vya upinzani vilivyo vingi vinakipiga vijembe na vita ya chini chini na wakati mwingine kwa wazi kabisa.

  Nauliza hivi kwanini?? Kwani chadema ndo chama tawala ambapo inatakiwa kiwe na wapinzani wa kukikosoa na kushauri?
   
 2. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hali halisi ,wenye chama tawala wamehama reli,NA WANATEKELEZA SERA za CDM bila kupenda ili kuchelewesha mauti ya CCM yaani ni kama mtu anatumia ARV vile.
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Nimejiuliza sana swali hili na sielewi kama wanasiasa wetu wanaijua siasa kisawasawa. Kwa kila hali chama tawala kinapoteza mwelekeo na kukosa nguvu hadi bungeni. Badala ya watu kutetea chama na sera zake wamekuwa wao kuandaa mashambulizi kama vile Chadema ndio chama Tawala.

  Kwa Wabunge wa Chadema indelezeni kazi yenu maana mnapewa mwanya mkubwa sana wa kujijenga toka bungeni, wananchi wanakusikilizeni kwa makini - Utumnieni huu mwanya ambao sii rahisi kabisa kupatikana ktk mabunge mengine.
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nimeshangaa mbunge wa CUF akipoonda CDM lakini baadae akafuta kauli yake eti CDM chama cha majoka haaaaaah!!!!!

  Mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe.
   
 5. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Usishangae mkuu MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAOPOPOLEWA MAWE,ukiona m-arobaini unapigwa mawe ujuwe anafukuzwa KUNGURU.lkn mkuu ukimkuta mtu anamshambuli mume wako/mke wako utafanya nini?
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Chadema ni wabinafsi sana wana uchu wa madaraka hakuna kikingine.
   
 7. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,563
  Likes Received: 16,531
  Trophy Points: 280
  Na CCM je?
   
 8. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  M4c inawatesa bila kujijua..napenda baada ya bunge m4c ianze tena,tena tuanzie kwa mwigulu
   
 9. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ukiona hivyo ujue jogoo kashikwa kichwa chini miguu juu.
   
 10. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nyie uchu wa kufisadi nchi
   
 11. IFUNYA

  IFUNYA JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 346
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Mkuu CDM kinazidi kupendwa na Watanzania wote hata wanaCCM wengi wanatamani kuvaa Magwanda. Viva CHADEMA.
   
 12. A

  Akida kaka Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  "wabinafsi".... kwa lipi?

  "wanauchu wa madaraka".... sujakuelewa hapa
   
 13. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  CUF waliacha kuwa hiyvo baada ya kukubali ndoa na CCM, au siyo?
   
 14. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  CUF na UDP ni mahawara wa CCM
  Nani asiyejua ?
   
 15. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  ritz=jk
   
 16. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mkutano huu wa bunge ni uwanja wa maonesho ya madhara ya " Akili ndogo inapotawala akili kubwa"

  Nafikiri CCM ina wapumbavu wengi kuliko wenye hekima. Haiwezekani mtu uongee ujinga halafu anapigiwa makofi.
   
 17. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  kweli nyinyiem mna kazi
   
 18. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  Sio kwamba Ritz= Riz1 Tz.
   
 19. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Cuf waliishatamka kwamba wana maadui wawili CCM na CHADEMA. kwa hiyo CHADEMA tegemeeni ngumi za macho kutoka CUF.B
   
 20. j

  jigoku JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Haya yote yamedhihirika bungeni,maana kila anaesimama kutoka vyama tawala CUF,CCM,NCCR wanajaribu kuiponda chadema.hata leo pia Mkuchika aliponda hoja iliyotolewa na mbunge wa CUF ila akajibu kwa dharau sana na kisha akamalizia kwa kutaja mbunge wa CDM ndio alileta hoja hiyo,ikabidi mwenyekiti amwambie kuwa ni wa CUF.
  for sure hata mimi siajpata jibu sahihi ni kwa nini iko hivyo
   
Loading...