Wabunge na Elimu ya shahada (Degree) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge na Elimu ya shahada (Degree)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ropam, Jun 25, 2012.

 1. ropam

  ropam Senior Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Salaam JF,
  Ni hili swala la wabunge wa Jamhuri kuwa na elimu ya at least shahada ya kwanza (undergraduate degree)...juzi MH. John Mnyika alipokuwa anahutubia bunge kwenya mjadala wa bajeti kuu ya serikali alisema "tumefika hapa tulipo(kwenye umaskini wa kutupwa na hali ngumu ya maisha ambayo haijawai kutokea) kwasababu ya udhaifu wa raisi kikwete, uzembe wa bunge na upuuzi wa ccm"...kwenye hili swala la uzembe wa wabunge, naona kuna hoja mbadala zaidi ya uzembe, kuna wabunge wengi tu bungeni wanafanya/support maamuzi bila kujua athari zake kesho na kesho kutwa kwao( watakapotoka hapo mjengoni) na kwa jamii nzima kutokana na ukosefu wa elimu (ukomavu wa fikra), Majirani zetu hapo kenya wameshapitisha hili...kuanzia mwaka kesho hakuna mbunge ataruhusiwa kugombea bila kuwa na at least shahada ya kwanza, tusijipe moyo kwamba...mbona TZ wasomi ndio wanongoza kwa uwizi, ni wanaiba kwasababu wanajua bunge limejaa watu ambao hawajakomaa kiakili, ambao watapitisha hoja yeyote bila kujali uhalisia wake! Elimu kwa watu wanaotuongoza ni muhimu sana....."The function of education is to teach one to think intensively and to think critically. Intelligence plus character - that is the goal of true education." -Martin Luther kng Jr, Naamini hata sisi hatutakuwa tumewahi sana tukilijumuisha hili katika marekebisho ya katiba yanayoendelea.
  Nawaisilisha.
   
 2. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mkuu na kubaliana na uchambuzi wako. Rekebisha heading ya hoja yako ili isomeke "wabunge" na sio "Wanunge"
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,930
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  I really doubt if that is a solution. Let's think of the number of PhDs and Professors that we have had in that house and what they have done so far.....! Mind you, we also have an economist and a PhD holder in the 'first office'!
   
 4. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,634
  Trophy Points: 280
  ni kweli kabisa mbunge anatakiwa awe na shahada ya kwanza hatakama ni ya sanaa ya maigizo.
   
 5. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hiyo ni njema sana,na Tanzania ipitishwe hiyo kitu,maana wakina Prof.maji marefu hawajui hata ku-constract maswali,itapunguza waganga wa kienyeji na mambumbu wa mgamba bungeni wanaosinzia wakizinduka wanaamkia kupiga meza,hawa wagonga meza ndio wanashindwa kusoma na kuelewa miswada ya kingereza,ni janga,naunga 100% ipite na hapa Tanganyika.
   
 6. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,834
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Mtu kama Aden Rage ni kwa maslahi ya nani?
   
 7. ropam

  ropam Senior Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nimeshafanya hivyo mkuu....kwenye keyboard yangu 'B' na 'N' zimepakana, am grateful though
   
 8. ropam

  ropam Senior Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  SMU thats the best way so far to restore accountability and responsibility amongst the ministers and MP's that has been lost/missing for as long as i can remember! The aim of having the house filled with intellectuals isnt to observe what they can or cant do but to serve as reliable watchdogs against those on the higher hierarchy who are making lame decisions for us poor Tanzanians believing that nobody can question them or block their decisions not even the government's main watchdog (House of parliament) because it is full of members lacking the appropriate or rather enough education
   
 9. M

  Madenge Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Naunga mkono uchambuzi wako. Pia kuna kipindi waziri mmoja aliwahi kusema kuwa wabunge wangi wanashindwa kuielewa budget kutokana na lugha na hata lugha yetu ya kiswahili pia kinawawia vigumu kuelewa. Pia nina mashaka hao wabunge kama huwa wanasoma kwa makini hiyo budget, nahisi hata wanapopiga kura hawajui kwa nini wanakubali au wanakataa kupitisha. Sidhani kama wengi wao wanaweza kutoa majibu yenye ufafanuzi makini ya kukubali au kutaa kwao. NI BORA KIWANGO CHA ELIMU KIKAFIKIRIWA UPYA ILI TUENDE NA WAKATI. Enzi za Nyerer wasomi walikuwa wachache ndiyo maana kiwango kilikuwa cha chini. Sasa hivi wasomi ni wengi. Chama tawala kina take advantage kupitisha na kufanya ubadhilifu kwa kuwa wanajua wengi wa wabunge ni watu wa kuburuzwa tu na hawana upeo wa mambo.
   
 10. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,930
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  If I was to mention 5 five things that an MP 'needs' to perform his job properly, a university degree would not be among them!
   
 11. ropam

  ropam Senior Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli mkuu...ukizingatia pia tumeingia kwenye jumuiya ya Afrika mashariki, seriously we cant afford to have representatives who will be nodding their heads to everything the kenyans, ugandans etc say...
   
 12. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  If you think Education is expensive then try ignorance!

  Mandatory first degree to MPs aspirants is the right dicision towards to the right direction. Let's be optimistic
   
 13. ropam

  ropam Senior Member

  #13
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  what abt mentioning those things right now...and see if u will truly miss the university degree or any relevant education level in your list!
   
 14. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #14
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Elimu ni ya msingi sana....japo hata ambao hawajaenda shule wanajiona wanajua
   
 15. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #15
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mkuu uzi wako unakaribia ukweli katika kupata ufumbuzi wa matatizo yanayotokea bungeni, lakini kwa upande wangu ningeshauri tuipige chini CCM ndio suluhisho la msingi maana hata Maprofesa na PhD holders waliomo ndani ya CCM wanashindwa ku-reason na kutumia elimu yao ipasavyo, wanaishia kuburuzwa na kauli za kishabiki za akina Lusinde.
   
 16. Attinda78

  Attinda78 Member

  #16
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Umesahau kitu kimoja... ELIMU Sio NGUZO ya kumfanya Mtu kuelewa Masuala ya Ulimwengu; Kuna watu wenye Elimu

  Hawaongei bila kuweka Matusi; Hawana Mwamko wa Kisiasa au Mweleko
  ; Uongozi au Siasa ni HEKIMA sio DEGREE
   
 18. ropam

  ropam Senior Member

  #18
  Jun 25, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sio uongozi wa siasa tu..uongozi wowote ule ulio bora msingi wake ni hekima, lakini ili uongozi huo uendelee kusimama na kutetea haki na usawa kwa unaowatawala, pamoja na hekima lazima pia uwe na uwezo wa kupamba na kupambanua mambo, kujenga na kutengua hoja,kuwa na fikra huru na za kina.....ambavyo hivi vyote vinajengwa na elimu! Ifike mahali serikali iogope kupeleka miswaada na budget za kihuni bungeni, kwasababu tu inaelewa aina ya watu ambao wanaenda kuifanyia maamuzi hiyo miswaada!
   
 19. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #19
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Naunga mkono hoja hii kitu degree ni muhimu sana wengi wa wabunge hawajui wanachokifanya mjengoni na hii ndo njia nzuri ya kuwapunguza
   
 20. J

  Jamboleo Member

  #20
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa uchambuzi mzuri!!
   
Loading...