Mkutano wa hadhara CCM kata ya Mganza wakosa watu

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Wana CDM wenzangu,

kufuatia mikutano tuliyofanya wilayani Ngara mwezi Mei 2012; CCM nao wameanza kujipima nguvu kwa kuitisha mikutano ya hadhara. ili kukwepa aibu, jana CCM iliitisha mkutano wa hadhara katika kata ya Muganza ambako CDM hatujafanya mikutano rasmi ila katika baadhi ya vijiji tu.

Mkutano huo uliokuwa uhutubiwe na mwenyekiti wa wilaya Helena Adrian akisindikizwa na ofsi yote ya wilaya ya Ngara ilishindikana kufanyika baada ya kupata wananchi wasiozidi 7 (saba) kwenye eneo la mkutano kitu kilichowakatisha tamaa.


Siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Poleni sana CCM
:flypig:
 
Thanks alot mkuu nafurahia kwani mabadiliko yanaonekana ata uko that is good, lakini jamani ata simu za mkononi za kichina zina kamera, tunaomba muwe mnaattach na picha, ili nasi tuendelee kuwaamasisha wenzetu wanacdm ambao hawakao ktk jf na wako katika mitandao mingine, zingatia
 
Kwa nipumba,mipasho wanayongea bungeni hata mi ningekua mwana ccm ningewakimbia
 
Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake na mbivu kuliko mbichi maana mwisho wa mbivu huoza.
 
kazi ipo Magamba wamrudie MUNGU tena ili aanze kuwafikiria inabidi wafunge kwa maombi kwa mwaka mzima maana waliokwishatufanyia mmmmh!
 
Back
Top Bottom