Hakuna kitu kimenikera kama barakoa za nembo ya chama yaani wanatumia majanga kujitafutia umaarufu...very stupid!!
 
Chadema wachawi wa nchi yetu walikesha mitandaoni wakiomba Corona ije ,sasa imekuja wanakimbia kujificha? Kwa taarifa yenu itawafuata huko huko mpaka maombi yenu yatimie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Kabisa
 
Attachments

  • 2386068_IMG_2138.jpg
    2386068_IMG_2138.jpg
    29.8 KB · Views: 1
Nimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop

Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!

Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna Covid 19 self test kit.

Amandla......
 
Watu wengi wanakufa kwa hofu ya corona,maana imefika hatua sasa hivi mtu akijihisi anaumwa tu anaiwaza corona na kila kifo sasa hivi ni corona.
 
Nimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop

Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!

Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing

Sent using Jamii Forums mobile app

Unafahamu undani kwa nini zimekataliwa? Wacha majungu!
 
Back
Top Bottom