F
Reaction score
186

Profile posts Latest activity Postings About

 • Hello Engineer,

  I would like to take this opportunity to wish you and your loved ones a very Merry Xmas and a happy and prosperous New Year. Also I wish you good health, happiness and good luck during the coming year of 2009.

  May God bless you and your loved ones.

  Merry Xmas and a Happy and prosperous New Year.
  Originally Posted HERE.

  ...Kinachonisikitisha zaidi ni ukimya wa hao ambao tungetegemea kuwa ni voices of moderation humu ndani. Mara nyingi hii inafanyika under a misguided spirit of camaraderie. Na hii ndiyo inajenga hiyo tabia ya kutokukubali kukosolewa. Hatutaki kwa sababu wale ambao wako karibu nasi wanachelea kutukosoa pale inapobidi. Wao wana-define loyalty ni kumtetea mwenzako hata iwe vipi. Pale yanapokushinda ( unapoona kumtetea haiwezekani) unanyamaza au worse still kuvaa joho la neutrality na kusema yaishe bila wewe kuangukia upande mmoja. Ni wachache sana ambao wako willing kushika mapembe ya rafiki zao au wale wanaoamini wamewazidi kwa namna fulani.


  Bye bye now!
  Wussap Fundi Mchundo!
  Huwa natembelea profiles za members, ila sipati cha maana cha kuwaandikia. Leo nimepata hii idea baada ya kufika hapa. Nimependa ulichoandika, so I am going to quote you :) Wengine wakizuru mahali hapa wasome.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top