kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,258
- 6,991
Hakuna kitu kimenikera kama barakoa za nembo ya chama yaani wanatumia majanga kujitafutia umaarufu...very stupid!!
Chadema wachawi wa nchi yetu walikesha mitandaoni wakiomba Corona ije ,sasa imekuja wanakimbia kujificha? Kwa taarifa yenu itawafuata huko huko mpaka maombi yenu yatimie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Du! Ha ha ha ha haaaaaaKuna Watu wengine kama huyu Slow Slow ukiangalia tu Sura yake ilivyo ya Anticlockwise huwezi Kutegemea ziwe zinamtosha!!
Sasa tatizo nini mbona kakauka vile? au anakula cement na kokoto?Naweka records sawa... SLOW SLOW sio Mzee! Ni kijana. Tupo nae Group 1 uvccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale hadi corona inadundaSasa tatizo nini mbona kakauka vile? au anakula cement na kokoto?
Binafsi nilidhani ni mkubwa hata kwa Mangula!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu ni mwehu. Utathamini vipi UHAI VS HELA.Kabisa
Ukiona kiongozi mkuu wa nchi kirusi cha Cohona kimempeleka uhamishoni Chattle jua hiyo nchi ni mfu!Viongozi ni useless
Utaratibu wa Tanzania ni upi?Kila Nchi inautaratibu wake
Hamna Covid 19 self test kit.Nimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop
Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!
Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop
Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!
Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing
Sent using Jamii Forums mobile app