Ningekuwa naweza ningeweka picha ya namna nilivyokaa hapa 🤣🤣
Muulize huyo binti alifuata nini gesti/ ghetto wakati yeye ni bikira? Je ndoa zinapatikana huko?Aiseee kuna watu ni wanoma wakianza kukuambia historia yake ambavyo wanawake wametolewa bikra kupitia yeye mpaka huwezi amini.
Unakuta Mtu anakuambia nimetoa bikra zaidi ya mbili,tatu,nne n.k.
Ukimuuliza je vipi hao wote uliowatoa bikra utawaoa au laaah?
Au kati ya hao uliowatoa bikra yupo ambaye unania naye?
Yaani utakutana na majibu mengi sana wakati huo unataka jibu moja tu!!!
Vipi ulishawahi kutana na watu Wa aina hiyo?
Mimi nimezitoa za kutosha lakini wewe unaniona Mimi ni shetani, ila hao mabinti niliowabikiri wananiona Mimi Ni MALAIKAMtu anayetoa bikra alafu asioe namfananisha na Ibilisi
Enjoy!Ningekuwa naweza ningeweka picha ya namna nilivyokaa hapa 🤣🤣
Sina stress 😆
Ila ukitia jera yakoMm bado ila ngoja nitafute ka moja ka sekondar
Sawa kabisaMtu anayetoa bikra alafu asioe namfananisha na Ibilisi
haaaaa?Muulize huyo binti alifuata nini gesti/ ghetto wakati yeye ni bikira? Je ndoa zinapatikana huko?
SawaHayo hayakuhusu sisi wenyewe tutajua kama tunaoa au laa
duh malaika kutoka mbingu ganiMimi nimezitoa za kutosha lakini wewe unaniona Mimi ni shetani, ila hao mabinti niliowabikiri wananiona Mimi Ni MALAIKA
Mimi nimezitoa za kutosha lakini wewe unaniona Mimi ni shetani, ila hao mabinti niliowabikiri wananiona Mimi Ni MALAIKA
Hata shetani ana malaika wake huitwa mapepo, Mimi Ni reflection ya malaika positiveShetani akizeeka hugeuka malaika, basi hao mabinti wanakuona hivyo!
Yeah, ^positive;^ kama tu ambavyo madokta wameandika kwenye faili lako: HIV positive.Hata shetani ana malaika wake huitwa mapepo, Mimi Ni reflection ya malaika positive
Huyu ndumilakuwili hutakiwi hata kuhojiana naye kwa sababu ubongo wake umehamia ndani ya suruali. Anafaa tu kusikitikiwa, kuhurumiwa, na pengine kusaidiwa asije kuvuka ^a point of no return!^ Why!???? Kwa nini lakini!???duh malaika kutoka mbingu gani
Kwani wewe unaoa bikra au? Yaani Kutolewa anatolewa mwengine wewe inakuuuma nini mkuu? oa mwanamke uliyempenda swala la bikra wengine wanataka kuondoa kizuizi tu na wengine ndo hao wanajikuta wamenasa wenyewe kwenye mtego.Aiseee kuna watu ni wanoma wakianza kukuambia historia yake ambavyo wanawake wametolewa bikra kupitia yeye mpaka huwezi amini. Unakuta Mtu anakuambia nimetoa bikra zaidi ya mbili, tatu, nne n.k.
Ukimuuliza je vipi hao wote uliowatoa bikra utawaoa au laaah?
Au kati ya hao uliowatoa bikra yupo ambaye una nia naye?
Yaani utakutana na majibu mengi sana wakati huo unataka jibu moja tu!!!
Vipi ulishawahi kutana na watu Wa aina hiyo?
Huu tunaita ufalaMtu anayetoa bikra alafu asioe namfananisha na Ibilisi
LamakumayomaYeah, ^positive;^ kama tu ambavyo madokta wameandika kwenye faili lako: HIV positive.
Sawa
Niulize swali, ivi hao wenye bikra wanapatikana wapi?Aiseee kuna watu ni wanoma wakianza kukuambia historia yake ambavyo wanawake wametolewa bikra kupitia yeye mpaka huwezi amini. Unakuta Mtu anakuambia nimetoa bikra zaidi ya mbili, tatu, nne n.k.
Ukimuuliza je vipi hao wote uliowatoa bikra utawaoa au laaah?
Au kati ya hao uliowatoa bikra yupo ambaye una nia naye?
Yaani utakutana na majibu mengi sana wakati huo unataka jibu moja tu!!!
Vipi ulishawahi kutana na watu Wa aina hiyo?