Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,305
- 10,582
- Thread starter
- #3,381
Tatizo lako unaongea ongea tu as if huujui uhalisia.
Mkuu fanya kazi upate hela ndio utajifunza kumcha Mungu.
Tatizo wanawake wengi ni wavivu, hawana kazi za uhakika na ndio maana ni masikini, hii inapelekea kujikuta wanavumilia mpaka upuuzi.
Shetani hasamehewi, hilo kaa ukilijua.
Uhalisia ninaujua na ndio maana nikasema shida ni umasikini na utegemezi wa wanawake,