Mkuu...Wewe niite utakavyo iwe Malaya..au kahaba au lolote lile....Na haya ndio maneno ya wanawake wasio na bikra yalivyo, upo sahhi kabisa. Nashukur unanisaidia kudhihirisha jinsi mlivyo na vijana wataelewa kwa haraka
😀😀😀🙏mkuu Kama aliekubikir ametangulia mbele ya haki hii haimanishi kua wewe ni mjane labda Kama mlioana hapo sawa.
Mleta mada anachotaka ni bikra na sio sababu za wewe kutokua nayo..
Pole kwa kumpoteza aliekutoa bikra yako mkuu!
Ombi kwa mara ya pili.
Dear future husband usije ukaifahamu jamiiforums.
Huku mtaani kwetu kuna mama aliolewa na Bikra yake, uwa ananiambia D siijui mbo.o tofauti na ya baba Xx lakini huyu mwanaume sijui nimfanyie yapi atulie. Mume wake ni kicheche mbaya, skirt mpya isiingie mtaani anatupia ndoano. Hana heshima kwa mke wake hata kidogo.
Ona huyo kajitunza ila kaja kupata galasa, bikra ina heshima sawa lkn sio guarantee ya utulivu ndani ya ndoa. Sitaki kuamini kama kuna wake waliolewa bila bikra then sio waaminifu kwa ndoa zao. Hata hao mabikira siku wakishawishika wakaonja nje na kunogewa yatakuwa Yale yale tu.
Nikirepot kutokea pande za kaskazini ni mimi mjumbe kutokea chama cha wanawake un'virgin 😀😀 Tunakwambia hivi utulivu tunao kwenye mahusiano yetu, imagine aliyenibikiri ameshatangulia mbele ya haki nabaki vipi sasa huku duniani? Unataka tuishi maisha ya kijane kama wahindi? Hii tamaduni kwetu huku haipo ni lazima tu nitakuwa na mahusiano mengine.
Nimeandika sana. Lol
Ina maana we umeto..mb..a mwanamke mmoja tu ndio ukakuta sealed ukaoa?Nitapuzika mwezi wa pili
Ina maana we umeto..mb..a mwanamke mmoja tu ndio ukakuta sealed ukaoa?
Ndoa uvumilivu eti, sasa ukiamua kuacha acha utaacha wangapi? Ila kwa huyu mwanamke huku hata mm uvumilivu ungenishinda.Akimsaliti amuache, mwishowe ataletewa magonjwa kwa upumbavu wake hapo na huruma za kipuuzi
Kama ulivyoahinisha kwenye hoja na 5,
Tatizo la utoaji mimba kwa sasa hivi ni kubwa mno, ukijaribu kufuatilia kwa juu juu tuu, ni wazi kuwa huu ni zaidi ya ugonjwa kwa jamii ya sasa. Na hii ni kutokana na ugumu wa maisha kila kukicha, Tumekuwa tukiwanyooshea wanawake vidole vya lawama, lakini kiukweli hawa watu wanapitia kipindi kigumu sana katika hii dunia ya tatu. So, ni vyema kuwaelimisha, kuwaombea na kuwatia moyo wa faraja badala ya kuwasuta na kuwakebehi.
Sio kila aliyejiharibu alijiharibia kwa kupenda, sasa na wewe unapozidisha uharibifu eti tu kwa sababu wao walishajiharibia basi mjomba Karma yupo. Atakulipa tu kwa namna yakeNimegonga wanawake wengi mamia wanafika, ila niligonga waliogongwa hilo tuu nitajitetea.
Niliapa kuharibu vilivyoharibiwa na kamwe sitatoa bikra ya mtoto wa mtu kama najua sitamuoa, hivyo ndivyo ilivyokuwa mpaka sasa nimepumzika kwa mke wangu
Ndoa uvumilivu eti, sasa ukiamua kuacha acha utaacha wangapi? Ila kwa huyu mwanamke huku hata mm uvumilivu ungenishinda.
Ila sasa wengine wanavumilia sababu ya watoto