Sio kila aliyejiharibu alijiharibia kwa kupenda, sasa na wewe unapozidisha uharibifu eti tu kwa sababu wao walishajiharibia basi mjomba Karma yupo. Atakulipa tu kwa namna yake

Mimi nipo tayari kwa karma, ninapenda haki na ndio maana nikasema, mke wangu akinikuta nachepuka haki yangu ni kuachwa na sio kusamehewa. Halikadhalika na yeye.

Hivyo hayo ya kulala na wanawake walioharibiwa nitalipwa ndio lakini hakuna atakayesema nilimharibu
 
Hakuna kuwaombea wala kuwafariji hata wangetaka kujiua, jambo pekee wanaloweza kufanya ni kuwakatalia wanaume na kuacha uzinzi, wanawake wakiamua kukataa kutoa bwerere nakuhakikishia ndoa zitamiminika kama njugu, vijana wataoa kwa kasi.

Lakini kuombea watu wasiojitambua hilo hufanywa na wendawazimu
Unalaumu sana wanawake as if uwa wajinyandua wenyewe!! Both Me na Ke wakiacha uharibifu na kuwa wakweli basi vizazi vijavyo vitakuwa salama.
 
Utakuwa na tatizo la akili hujijui unahitaji tiba, daily bikra, single mother I think you need healing in ur heart mi mada kumi kumi na yote hyo unaanzisha kujifariji na ujiponye nafsi yako . Hongera kwa kutoa sumu moyoni na hivi twatumia fake I'd
 
Ombi kwa mara ya pili.

Dear future husband usije ukaifahamu jamiiforums.

Huku mtaani kwetu kuna mama aliolewa na Bikra yake, uwa ananiambia D siijui mbo.o tofauti na ya baba Xx lakini huyu mwanaume sijui nimfanyie yapi atulie. Mume wake ni kicheche mbaya, skirt mpya isiingie mtaani anatupia ndoano. Hana heshima kwa mke wake hata kidogo.

Ona huyo kajitunza ila kaja kupata galasa, bikra ina heshima sawa lkn sio guarantee ya utulivu ndani ya ndoa. Sitaki kuamini kama kuna wake waliolewa bila bikra then sio waaminifu kwa ndoa zao. Hata hao mabikira siku wakishawishika wakaonja nje na kunogewa yatakuwa Yale yale tu.

Nikirepot kutokea pande za kaskazini ni mimi mjumbe kutokea chama cha wanawake un'virgin 😀😀 Tunakwambia hivi utulivu tunao kwenye mahusiano yetu, imagine aliyenibikiri ameshatangulia mbele ya haki nabaki vipi sasa huku duniani? Unataka tuishi maisha ya kijane kama wahindi? Hii tamaduni kwetu huku haipo ni lazima tu nitakuwa na mahusiano mengine.

Nimeandika sana. Lol
Naungana nawe kwenye maombi, tufunge tatu kavu mwali maana bikra ishakua inshuuu
 
Nimemkumbuka ndugu yangu, alioa bikra ila ndoa yake haikuchukua hata miaka 2 kabla haijaparanganyika.
Nimewahi kukutana na wasichana zaidi ya 3 bikra na sikuwaoa, na sijawahi kukutana nao kimwili tena licha ya wao kuolewa. Na sometimes tunaonana!!

Bikra kwa kigezo cha kukwepa kubambikiwa mimba hakina mantiki.
Binafsi naona kama mwanamke aliyeolewa bikra, ndio mwenye chance nyingi za kucheza kucheza huko nje ya ndoa kumzidi yule

Endelea kujifariji

Ila waliooa wanakuangalia humu
 
Utakuwa na tatizo la akili hujijui unahitaji tiba, daily bikra, single mother I think you need healing in ur heart mi mada kumi kumi na yote hyo unaanzisha kujifariji na ujiponye nafsi yako . Hongera kwa kutoa sumu moyoni na hivi twatumia fake I'd

Utatumia lugha zote lakini ukweli umeupata na kama hukuolewa na bikra basi ndivyo hivyo ulivyo
 
Hawana bikra,wewe umejulia wapi maana huwajui wala hawakujui

Naona umegeuka mganga wa kienyeji kubashiri bikra za wanadamu usiowajua

Nakushauri hii kazi ya ubashiri waachie waganga,wewe jikite na kujibu hoja unazoweza

Ingekua kabila kwako sio ishu,then hilo kabila la huyo mwanamke usingekua na muda wa kulitaja

Umelitaja kwa kudhani ni mojawapo wa sifa watu watakusifia

Proudly umeandika "MCHAGGA" as if ni kigezo

Ungekua unajiamini na kabila lako ungeoa mwanamke wa kwenu,hujiamini nalo ndio maana umekimbilia kabila jingine

Wewe ni self hating motherfvcker,unajichukia kua kabila ulilopo now,ndio maana umekimbilia Wachagga kujisogeza

Shame on you

Sifa zote ulizotaja hapo juu,zote zipo kwenu pia,kasoro neno Mchagga,na jinsi ulivyo na chuki na wanawake wenu,umewaacha makusudi mazima

Bure kabisa na huna maana..hujiamini

Utatapa tapa hapa mpaka ukome, kama hukufunzwa na mama yako acha dunia ikufunze. Aliyeumbia utolewe bikra ni nani, Haya ndio madhara sasa
 
Hakuna kuwaombea wala kuwafariji hata wangetaka kujiua, jambo pekee wanaloweza kufanya ni kuwakatalia wanaume na kuacha uzinzi, wanawake wakiamua kukataa kutoa bwerere nakuhakikishia ndoa zitamiminika kama njugu, vijana wataoa kwa kasi.

Lakini kuombea watu wasiojitambua hilo hufanywa na wendawazimu
Ubaya ni kwamba, idadi kubwa ya wanawake wanatolewa bikra zao katika umri mdogo kabisa (15yrs-18yrs). Ni umri ambao wanakuwa bado hawajui kipi ni kipi wala nini ni nini. Ila baadhi yao wanapofika umri wa kujitambua wanaamua kujiheshimu na kutulia ingawa walishapoteza usichana wao accidentary. Kwa hiyo bado mimi naona katika suala la kuoa, kuna vigezo vingine vinavyoweza kuangaliwa. Bikra isiwe kigezo kikuu na cha mwisho katika muktadha huo.
 
Mkuu...Wewe niite utakavyo iwe Malaya..au kahaba au lolote lile....
Mimi nilichosema ishi utakavyo amua...Ni maisha yako...
Kwaiyo kusimamia unachokiamini Ni SAWA Ni maisha yako...

Pengine Kuna watu wanamisimano tofauti na hii ya kwako...so we differ

Yaah na ndio maana nikasema mbugani wapo Fisi na simba,
Inategemea mwanaume anatumia attitude ya simba au ya Fisi.

Kila la kheri
 
Ndoa sio uvumilifu, ndoa ni utakatifu.
Huwezi mvumilia shetani hayo ni mafundisho ya uongo,
Yapo ya kuvumilia lakini sio Uasi,

Ndoa uvumilivu kama wa kukosea kupika, uvumilivu wa kiuchumi labda biashara zimeyumba, uvumiivu wa maradhi labda mmoja anaumwa, lakini sio huo upumbavu.

Kuvumilia uovu ni ushetani, ni kuendekeza ushetani na kufanya maovu yaonekane yanavumilika wakati kiukwli hayavumiliki.
Mwisho wa uovu ni mauti tena ya aibu.

Endelea kuvumilia uovu hapo

Wewe uliona wapi mwizi akiiba anavumiliwa, uliona wapi mtu anayeua anavumiliwa badala ya kumuadhibu na kumuangamiza?

Acheni mambo ya ajabu enyi kizazi cha Koboko
Tatizo lako unaongea ongea tu as if huujui uhalisia.
 
Ubaya ni kwamba, idadi kubwa ya wanawake wanatolewa bikra zao katika umri mdogo kabisa (15yrs-18yrs). Ni umri ambao wanakuwa bado hawajui kipi ni kipi wala nini ni nini. Ila baadhi yao wanapofika umri wa kujitambua wanaamua kujiheshimu na kutulia ingawa walishapoteza usichana wao accidentary. Kwa hiyo bado mimi naona katika suala la kuoa, kuna vigezo vingine vinavyoweza kuangaliwa. Bikra isiwe kigezo kikuu na cha mwisho katika muktadha huo.

Hakuna ubaya hapo, sheria zipo wazi, umri huo watuhumiwa wangepaswa kufungwa miaka 30 lakini vitoto vyenyewe vinapenda na hata vikipewa mimba vinamficha mhalifu kwa nini usielewa hoja yangu kwa mantiki hiyo?

Bikra ni kigezo cha kwanza kwa mwanaume anayejielewa.

Ukienda dukani kuchukua bidhaa lazima uhakiki kama ni mpya au laa, Labda waliozoea mitumba
 
Back
Top Bottom