Kila mwenye mapungufu angetengwa kutokana na mapungufu yake basi hata Mungu angeshatutenga na dunia hii tusipate hata bahati ya kuwahukumu wengine muda huu kwa kupost nyuzi kama hizi.
 
watakuwa watoto wapumbavu kama walivyo wapumbavu, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo na mwana wa nyoka ni nyoka
Maji ufata mkondo na tembo hasahau njia waliyopita.
Sasa kumbuka ulivyo kuwa unakula watoto wa wengne ndivyo hvyo hvyo na wako wataliwa na kuwala pia.
 
Kila mwenye mapungufu angetengwa kutokana na mapungufu yake basi hata Mungu angeshatutenga na dunia hii tusipate hata bahati ya kuwahukumu wengine muda huu kwa kupost nyuzi kama hizi.
Tusiwatenge ila tuishi nao tukitambua NI SIKIO LA KUFA...eleweni gist ya issue anayosema mleta post.

Naunga mkono na mm siwezi beba single maza ilhali kuna totoz fresh kabisa. Asilani!
 
huwa tunashangaa sana Mambo ya watu kwakua tunayajua..Mungu anatustiri...tungejua Yakwako mleta bandiko...nadhani usingeweka bandiko Tena..

Kuleta hizo case study za single mother..haimaanishi wote Ni wabaya..

Wewe kuoa bikwa na ndoa kudumu..haimaanishi wote walio OA bikara ndoa zilidumu..

Haimaanishi wote walio ambao Sio bikra ndoa hazijadumu..

Unajisifu na kujinadi Sana...ungali Bado hai?.. Unajitweza na kujiona upo juu Sana ingali hujafa?

Kama upo HAI.. anything can happen anytime..USIJIPE GUARANTEE YA MAISHAI.....BE CAREFUL with your words sir.
Mbona kama umepanic?

Kama hauna bikra ndo hauna hivyo

Na kama ni single mother nikupe pole in advance
 
Ungekuwa na busara ungemuacha na bikra mpaka baada ya kufunga ndoa. Baada ya kufunga ndoa na kuikuta bikra ndio ungeitisha kikao na kuongea maneno yako.

Una bahati Sana, ungekutana na wanaume shababi wangeinuka na kukuchapa makofi usingeendelea na hotuba yako.
Imagine . Aibu kubwa sana imagine uko kwenye hiyo sherehe aisee hata ubwabwa ningeacha niondoke zangu. Second hand embarrassment for Bibi harusiii
 
Mkuuu, muombaji na mtoaji nani anatakiwa kusisitizwa zaid, na athar nani anazipata zaidi??? Kibamia lazima kije kiwe kama mfano mkuu😆
Nikuulize wewe, nani anaathirika bikra ikitolewa? Bikra kila mtu anazaliwa na muda ukifika inatolewa/unaipoteza, shida Iko wapi?

Kama una kibamia , una kibamia bikra haitakusitiri.pole sana.
 
Bikra Ni Jambo zuri..na la heshima..Uzinifu Ni mbaya kwa wote...Wanaume na wanawake.

Ila kujitunza na kujiheshimu Ni jambo zuri Sana..
 
Ikipasuka nafuma upya.
Mwanaume hafungwi na muda wala kitu chochote.

Nimeshamwambia wife, siku akitaka kujifunza umalaya, kama atafanya umalaya kwa wiki nisijue basi namsamehe kwa kuwa kanizidi akili, lakini kama nitajua ndani ya siku saba nitamfukuza kama nilivyomuapia yeye, wazazi wake, Mungu wangu na nafsi yangu
Acha kujikuta wewe ..huna uwezo wa kumuacha uyo manzi, utakufa..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom