basi watu wakishajua uzi pendwa ni huu wa bikra ishaanza kuwa shida..
 
Kimsingi ni kutafuta mwanamke asie na hulka ya umalaya suala la bikra ni ziada tu ukiikuta sawa usipoikuta fresh
Hizi sheria za bikra nadhan zibakie kwa mataifa husika

Mwanamke akishakuwa hana bikra na anaolewa na mwanaume asiye mtoa bikra Automatik ni malaya.

Bikra ndio kipimo cha usafi wa mwanamke, kama hujaikuta jua hapo hakuna kitu acha kudanganywa
 

Wapi uliona kutongoza ikawa ni uzinzi?

Hakuna sheria inayomzuia mwanaume kutongoza, lakini ipo sheria inayomzuia asizini.

Mwanamke ndio hujitunza kwa ajili ya mwanaume na sio mwanaume ajitunze kwa ajili ya mwanamke
 
Sifa kuu mbili za mke bora ni
1) Mcha Mungu
2) Mchapa kazi

Note ; ukiokoka unazaliwa mara ya pili unafanywa kuwa kiumbe kipya.

Kipimo cha mwanamke mcha Mungu ni lazima awe na bikra, awe msafi,
Mwanamke akishakuwa ameitoa bikra yake kisha akaolewa na mwaname mwingine tayari yupo kwenye kundi la wanawake wachafu na najisi.

Kama angekuwa anamcha Mungu asingeitoa bikra kwa kuwapa wanaume ambao hawajamuoa
 

Huoni umuhimu wa bikra zama hizi wakati huo huo unaona ndoa nyingi zikipumulia mashine kisa na mkasa wengi wamechukua wake na waume wasio wao?

Hapa ndio utajua vijana wa siku hizi uwezo wao wa kufikiri upo chini, wanazidiwa hata na wanyama wa porini
 


Sasa wewe embu toa maana ya Neno Bikra na utupe mfano wowote kwenye dini yako kwa kunukuu maandiko ya kitabu chako unachokiamini, uonyeshe hata mtu mmoja wa kiume alishawahi kuitwa Bikra.

Wewe kama unaona tunajadili kwa mihemko, tupe hoja zako ili watu wazione na wakuelewe.

Kuhusu utafiti wa ndoa zenye amani, nimeshajitolea mimi mfano na ukoo wetu.

Nilitegemea utaleta hata maana ya bikra naona unatoa maelezo matupu.

Mwanamke mwema, mke bora ni lazima aolewe akiwa na bikra zaidi ya hapo ni majanga
 
Alaa kwahiyo Point yako ni kuwa wanawake wajitunze ila wanaume ndiyo wafanye ngono siyo

Watafanya ngono na nani hao wanaume kama wanawake mtajitunza?

Kumbuka sisi hatupo kwa ajili yenu bali ninyi ndio mpo kwa ajili yetu, sijui kama unaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…