Nina swali:

Aliyeowa mwanamke bikira but mwanamke ni mpagani (hamjui Yesu) na
Aliyeowa mwamke asiye bikra ila mwanamke kampokea Yesu kua mwokozi wake (kajengeka kiimani)

Yupi mjanja/ yupi atakua na Ndoa nzuri zaidi.

Ni sawa kuamini kuwa shetani akizeeka anarudi kuwa malaika?

Huyo unayemuita mpagani inaweza kuwa hajapata habari za wokovu lakini ni msafi kwa mujibu wa agano, na hiyo sio dhambi.

Yule mwingine amewahi kuwa mdhambi, mzinzi... huenda ametubu na kusamehewa.

Nitachagua mpagani asiyejua zinaa, kisha nitamfundisha habari njema za wokovu.

Wewe chukua aliyejutia dhambi na kutubu, huenda kwa uzoefu wake akawa mwema... no guarantee!!
 
Usibalidi masharti, unafikili watakao enda motoni hawakulisikia Neno la Mungu ???

Chagua kimoja.
Bikira na hamtaki Mungu inshort yeye ni Atheist.

Amabe hana bikra na yupo kwenye wokovu.

Chagua wa kuishi nae kama alivyo.
 
Kwa msiofuatilia mambo, huyu Joka jeusi kaandika hii mada kujifariji tu,attempt to regain control after his reputation was tarnished...pole weeeeeeeeeee

Wewe ni jamhuri ya mafisi hivyo hakuna atakayeshangaa comments yoyote kutoka kwako hasa mtu anapozungumzia bikra.

Watu wanajionea hasara ya mwanamke asiye na bikra kupitia wewe
 
Mimi..sijasoma...ila nachosema Ni kwamba..Kujitunza Ni jambo zuri Sana..

Ila Mwenyezi Mungu nimsamehevu anasemahe.....kila KITU..

Huyo Huyo Mungu anasema Tusikae kushughulishwa na.Mazambi ya watu wengine ...

Hakuna mkamilifu Huyu anakazana na kuona UZINIFU wa WANAWAKE....Yeye Hana ukamilifu kwani nae Ni mzifu..

Pia anamadhambi Mengi Sana ambayo yeye MWENYEWE anajua..

Mungu humpa Yule amtakae..Kuna watu Ni wadhambi Sana lakini bado Mungu akawabariki Sana...mfano FARAO.

Kwaiyo...nikweli Mungu anatutaka kujitunze...lakini PIA HAWEZI KUTUNYIMA wenza.. kwasababu HAKUNA Mwanadamu aso dhambi...
 
Kama unasoma biblia Huyo Mungu anakataza kuona maboriti kwenye macho ya wengine..

Nahuyo huyo anasema Ya kale yamepita na yoote yamekuwa Mapya..(Kama nimepatia..)..

Kwaiyo atakae mtegemea Mungu.awe mzinifu awe jambazi awe muuwaji...Mungu humjibu Dua zake..

Hata huyo KAHABA akiamua kuacha na Kufanya Toba ya KWELI...Mungu anaweza mpa mume mzuri tu.

So Kama Ni Mungu asijadiliwe kwenye mlango mmoja TU...

Mungu hajaacha kuwapenda watenda dhambi hata SIKU MOJA...
NANI ASIE NA DHAMBI KATIKA MGONGO WA ARDHI?
 
Wewe ni jamhuri ya mafisi hivyo hakuna atakayeshangaa comments yoyote kutoka kwako hasa mtu anapozungumzia bikra.

Watu wanajionea hasara ya mwanamke asiye na bikra kupitia wewe

Pole sana, image yako yote ikawa tarnished ,uko soo desperate kuonyesha uko fine, dont try soo hard..we understand you need to recover and its not healthy even in your own relationship/walikupa kitu cha ku ponder kuhusu uhusiano wako mwenyewe
 
Kama unasoma biblia Huyo Mungu anakataza kuona maboriti kwenye macho ya wengine..

Nahuyo huyo anasema Ya kale yamepita na yoote yamekuwa Mapya..(Kama nimepatia..)..

Kwaiyo atakae mtegemea Mungu.awe mzinifu awe jambazi awe muuwaji...Mungu humjibu Dua zake..

Hata huyo KAHABA akiamua kuacha na Kufanya Toba ya KWELI...Mungu anaweza mpa mume mzuri tu.

So Kama Ni Mungu asijadiliwe kwenye mlango mmoja TU...

Mungu hajaacha kuwapenda watenda dhambi hata SIKU MOJA...
NANI ASIE NA DHAMBI KATIKA MGONGO WA ARDHI?
Sasa iweje utolewe bikra alafu umwambie mwenzio na yeye anashawishika kwenda kubikiriwa na anakua sugu kwanini anyway sijui nlitaka kusema nini na unataka kusemaje
 
Kahaba nae akiomba Mungu ampatie Mume, Mungu humpa.
Sasa tukijidanganya wote kua hatutaki asiye bikira, haitowezekana.
Mimi sitaki bikra, nataka mwanamke anayetaka ku settle.
Itafaa nin uoe bikra akiijua mboo anatamani aonje zingine?
Nataka anayesema nimetosheka nataka kutulia na mume mmoja.
Nafungua dirisha rasmi;
financial services
Shunie
Rebecca
Waiteni na wwngine lkn nataka mmoja tu
 
Maisha hayaishi baada ya kuoa BIKRA...huyo Mungu unae mkoquote anakusaidia kuishi na huyo mkeo kwa wema?....Huyo.Mungu unae mquote anakupa mamlaka ya kuwaita watenda dhambi...mizoga...Malaya...makahaba?

Huyo Mungu unaemquote anakupa jeuri na KUJISIFIA na kusema ungezaliwa masikini ungejiua...
Huyo.Mungu anaruhusu Wewe kuita Mama yako MZOGA na kahaba kwakuwa TU hakuolewa na BIKRA au alikua single mother..

Mambo ya MUNGU hayachukuliwi.juu juuu.

Bikra ya mkeo sisi haitusaidii...Bali Wewe unaishije na sisi Watu wengine...hapo.NDO HUYO MUNGU unae mkqoute anatakiwa AONEKANE
 
Back
Top Bottom