Unataka kusema ningetoa somo hili kwa njia ya picha ndio ingeeleweka vizuri?
Kwa hizi picha nimeamini kweli Bikra kumbe bado zipo, jamii husika inanafasi ya kutunza maadili ya vizazi vyake.

Yule mkubwa wa kule Botswana anatushinda kwa kuzichakata. Wanajitahidi sana kuzitunza.
 
Unataka kusema Hadi dada zako ,mashangazi zako na ndugu zako wengine wote waliopewa na bikra?
Rejea mada zangu za nyuma.

Nilishaeleza hapa kuwa hata awe nani kama hajaolewa na bikra ni malaya, hivyo sioni umuhimu wa swali lako na nafikiri hata wewe umeona hivi
 
Ndo ujue kuwa huyu mleta mada ana matatizo ya akili.
Kuringia bikra ya mkeo NI KUJIDHARIRISHA NA KUMDHARIRISHA HUYO MWANAMKE.
Pia anamdharirisha mama YAKE mzazi na ndugu zake wa kike.
Unadhani mleta mada yeye ndo wa kwanza kuoa bikra? Au yeye ndo wa kwanza kumvunja mwanamke bikra?.
Hata Mimi nikishawahi kumbikri mwanamke lakini siwezi kuja kujisifu humu

Mtu anadhalilishwa kwa matendo yake, hata awe mama yangu au mama yako kama hakuolewa na bikra ni malaya tuu huo ndio ukweli.

Wewe kama unaona mimi nina matatizo ya akili, sawa wewe huna hayo matatizo na bado unaoa kitu used wakati vipya vipo wewe ndio mjanja
 
Wawatiishe wake zao, wasikubali kupewa maneno ya kimalaya na wake zao, mwanamke akikataa kukusikiliza piga chini, na uhakika ni kuwa kama mwanamke hakumsikiliza mzazi wake na Mungu mpaka akaitolewa bikra na kumpa mumeo kitu used ni wazi hatakusikiliza hata wewe.

Kama alivyokuwa akijificha wazazi wake wasijue ameanza tabia mbaya ndivyo atakavyojificha ukimuoa ili usijuea anatoka na mwanaume mwingine.
MANENO KUNTU HAYA KABISA
 
Mkuu

Nimeshakuambia mimi ni mwanaume

Wewe kuanza kunipangia jinsia sijui nje sijui ndani,sijui blah blah ni ukichaa

Huwezi kaa unatumia ubongo wako binafsi ku-assign gender to people you even dont know...

Ni kazi ya kipumbavu

Huna maana...jike labda ni wewe unaekaa humu kusifia bikira ya mwanamke eti ndio certificate ya yeye kua na tabia nzuri wakati wanawake wote duniani walishawahi kua na bikira na wakatolewa bikira na wanaume kama wewe,and still wana tabia mbovu

Hoja yako tayari ni dead on the arrival

Hakuna aliyekataa wewe ni mwanaume lakini ni kwa nje ila kwa ndani wewe ni jike.

Soma hapa ukipinga na hapa bado uniambie wewe sio jike kwa ndani, sawa

Soma hapa >>> Somo Maalumu La Bikra; Nimejibu maswali ya wengi sasa

Utajigundua vizuri kuwa wewe ni dume au jike
 
Umefafanua vizuri kwa weledi wa hali ya juu. Ni ukweli! Wanawake nawauliza aliyefungua njia kwa nini asikuoe? Uliacha wooooote ukamwamini yeye! Akasepa! Ni uuuuungwana?
 
Nina wapenzi wawili wote ni bikra. Huyu mmoja tupo naye mwaka wa 3 hajawai nielewa kuhusu kunipa tunda na huyu mwingine ninaye kwa miezi minne now kila nikimwambia aje anasema hawezi kuja, kama nampenda nimsubiri hadi nimuoe. Na kuolewa hataki eti muda bado.

Na wote wapo Chuo Mwaka wa Kwanza, kiukweli nashindwa kuenjoy nao, na kuwaacha hivi hivi siwezi. Kiufupi wadada mabikra ni wasumbufu sana hata jinsi ya kuwapata, uwage tu mvumilivu, nawawazia sana sijui niende na njia ipi now
 
Kwa Agano Jipya la sasa bado mimi naona unajisi si kitu cha kutisha.
Na mwanamke kufanywa kahaba kwa kuvunjwa Bikira yake kabla ya Ndoa bado si kitu cha kutisha, kwani Tunae Yesu Kristo.. ambaye huwapa wamwaminio Pendo lake na kutufanya kuwa wapya.
 
Back
Top Bottom