Dollar hermees
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 514
- 1,031
Acha kudanganya vijana wadogo kuwa wasioe wanawake ambao hawana bikra. Wewe umewatoa bikra wangap na bado umewaoa wote?
Unaweza oa mwanamke bikra lakini asikupende vile vile. Akitokea kidume na akamsugua sawa saws ndo basi waachwa.
Ukisema tuoe bikra hao wengine unataka waolewe na kina nani? Wengine walibakwa, wengine wali rubuniwa na wengine walitaka wenyewe.
Omba Mungu akujalie upate mwanamke mwenye hofu ya Mungu. Katika vigezo vya kuoa mke bora ambavyo ni 4. Kuna dini, nasabu yake(familia yao), mali yake na uzuri wake. Sijaona sehemu ilipo andikwa uwoe mwanamke bikra ndio maana kuna kuachika na kuna talaka vilevile.
Unaweza oa bikra na akawa malaya wa kutupa. Unaweza oa mwanamke asiye na bikra na akawa mke bora kwako.
Kitu cha kuzingatia hapo ni mwanamke mwenye mtoto, bond yao ni ya kipekee na mwanaume aliye mzalisha. Haijalishi wawe wamegombana au la. Labda iwe mmoja wa mzazi wa huyo mtoto amefariki au hayupo mahala hapo ndio uta kuwa na amani.
BIKRA SIO KIGEZO CHA MKE BORA