Sindano imepenya katikati ya msitari wako wa ikweta. PoleMwanaume mmoja akaacha shughuli zake kisha eti akakalisha 'makaghare' chini, akaanza kuandika mambo yasiyo muhusu, mbaya zaidi ni kuhusu wanawake..!!
Mihata sijausoma...Kwa mara ya kwanza nimesoma upuuzi mpaka mwisho
Maskiiiiini..!Sindano imepenya katikati ya msitari wako wa ikweta. Pole
You are talking about widows (wajane). Big difference.Single motherwaliofiwa na mabwana poa, ila wengine ni shida. Kilichomfanye awe single ni shida inayojitosheleza
The husband will always come fourth in the relationship ( after her, the kid and the baby daddy).Kuna manzi nimezalisha huko kwao hivi sasa ana mume na mtoto wao lakini haachi kunisumbua. Mbaya zaidi anasema mumewe hamfanyi kama nilivyokua namfanya mimi.
Anataka tuendelee kulisakata rhumba wakati mimi sitaki.
Inataka moyo kusoma upuuzi...Mihata sijausoma...
Huwa wanawazaga ujinga zaidi,mim Kuna mmoja niliwah kuwa nae ananipa mahesabu kuwa anataka Mtoto wake asome shule nzur ili mtaan wamuheshimu,Hapa kuna single mother mmoja tumekutana siku ya pili leo na nimekula tunda ila tayar nimepigwa mzinga,anaomba nimsaport mwanae ana birthday nimsaidie pesa amfanyie birthday nzur.
alidandia kahaba likampurura,,,, so anajaribu ku-expose...... anasahau alikazwa na mwanaume,, akawa mjamzito....HUYO basha..aidha yupo, kadead au yuko chimbo..au kakimbia majukumu...bado haiondoi dhana ya MWANAMKE KUPENDWA......kikubwa ni kuelewana the way foward before you kick off the love project.....hongera sana mkuu, watu aina ya mtoa mada ni wakupuuzwa maana hamna walijualo