Wakuu mko sawa?

Ninawasalimu kwa JINA LA BWANA mi ninaishi na mwanamke ambae nilimkuta ana mtoto 1 wa kiume na mtoto uyo anaishi na bibi yake uko kwao na mwanamke toka nimeishi na mwanamke uyu sasa ni miaka 4 kasoro tukibarikiwa kupata mtoto 1.

Niliwahi kumuuliza kuhusu baba wa mtoto niliyemkuta nae alinijbu hajui yuko wp kwan alikataa mimba. nilimdadisi kujua walikutana wp mpk wakapeana mimba na uyo mwanaume ni mwenyeji wa wp alinijbu walikutana Morogoro uko, sasa juzi kati hapa ilipigwa simu asubuhi nikaskia kama wanabshana kwny cm na kuhojiana cm ilipokatwa nikauliza kwan unavutana na nani?

Akajibu uyu ni baba mtoto wangu nikamuliza yuko wp akajibu yupo Singida na uko Singida ndo kwao na mwanamke wng nikamulza tena anafanya nn uko wakati ulinambia si mwenyeji wa uko na mlikutana Moro, akasema hata yeye hajui ila jamaa kasema amefika mpaka kwao na mwanamke wng na ameongea nao khs mtoto anataka amchukue. nikasema n jambo jema mpeni mtoto wake.

Tatizo limekuja huyu mwanamke anawasliana na jamaa kwa siri, je wakuu kunani?
Kifuatacho ni kuchapiwa na kulea mtoto asie wako Kwa jina la kwako.
 
1700665799546.png
Apo lazima kuwe na single mothers maana wanawake wako wengi kuliko wanaume na iko ivyo kwa mda mrefu na bado wapo wanaume ambao wanabadili jinsia so wanaume wanazidi kupungua
 
Ikawa asubuhi ikawa jioni dada mrembo aliyeishi kwa maadili akajikuta akichukua kadi yake kwenye chama kubwa la single mothers nchini.

hahahah, nimecheka kama mazuri,,hii dunia sio fair kabsaaa
 
Ikawa asubuhi ikawa jioni dada mrembo aliyeishi kwa maadili akajikuta akichukua kadi yake kwenye chama kubwa la single mothers nchini.

hahahah, nimecheka kama mazuri,,hii dunia sio fair kabsaaa
😂😂😂😂😂😂Watu bhn mbinu mbinyuko
 
Ikawa asubuhi ikawa jioni dada mrembo aliyeishi kwa maadili akajikuta akichukua kadi yake kwenye chama kubwa la single mothers nchini.

hahahah, nimecheka kama mazuri,,hii dunia sio fair kabsaaa
Ishakuwa tend.
 
Kijana kabla hujaoa Single Mother nenda kamuulize Mama yako swali hili, Je ni sahihi kuoa Mwanamke mwenye mtoto wa Mwanaume mwengine?

Kumbuka kuwa Mama yako ni Mwanamke na anajua kila kitu kuhusu wanawake kwenye ulimwengu huu.

Au kama vipi muulize ndugu yako wa kike yoyote. Jibu atakalokupa ndio litaamua maamuzi ya penzi lako mbeleni.
 
MODERATORS NAOMBA MSIUNGANISHE HUU UZI, TUPO HAPA KUPEANA MAARIFA.

Mwanaume ndo kichwa cha familia!!!

Tuwache uwoga kwani unataka kusema ukioa hawa single mothers wana shida gani? Kama kuuza mechi hata hawa ambao sio single mothers wanauza
 
Wala sio maarifa ni kuwashushia thamani wanawake ndio ajenga kuu humu kilasiku lakini uzuri ni kwamba Kuishi bila sisi haiwezekani na sisi bila nyinyi ni ngumu
 
Dogo hamchoki haya ma uzi asee. Kwa siku unaanzisha uzi ngapi za hivi asee. Kwani umelazimishwa kuoa wa hivyo. Si uchague mabikira unaowataka uachane na ma singo mama. We hujaambiwa uwaoe lakini unavyotoka povu

Usipangie watu maisha. Hebu achana na maisha ya watu dogo.

Tafuta hela ujiepushe na masumu mwilini
 
Mwanaume ndo kichwa cha familia!!!

Tuwache uwoga kwani unataka kusema ukioa hawa single mothers wana shida gani? Kama kuuza mechi hata hawa ambao sio single mothers wanauza
Unapaniki Mkuu.

Nimekwambia nenda kamuulize Bi Mkubwa kuwa, ni sahihi Mwanaume kuoa Mwanamke mwenye mtoto.?
 
Back
Top Bottom