Haya bhana, chato tunakusalimia na kukutakia usiku mwemaNdio
Ha haa mshana bhana yaani huwa hupindishi km Yule mzee wa mabandiko marefuNdio
Wewe una nini? Fala wa humu JfUsiponitaja naona unapata tabu sana.
Wewe una nini? Fala wa humu Jf
Ahaaa ngoja nicheke bwhaaaaaaaaaaNaona unaanza kulazimisha mabasha kinguvu. Si unajua mimi kukulaza na viatu sichelewi?
We ni fala fulani ila hujitambui kama ni fala ambae huna mbele wala nyuma. Ulishakula kifiro sana ndio maana huna akili.Naona unaanza kulazimisha mabasha kinguvu. Si unajua mimi kukulaza na viatu sichelewi?
Naamewaambia JPM ameondoka pekeake fikra na maonoyake bado yanafanya kazi kama kawaida.
We ni fala fulani ila hujitambui kama ni fala ambae huna mbele wala nyuma. Ulishakula kifiro sana ndio maana huna akili.
Kabisa.JPM anaishi mioyoni mwa watanzania 84% + 5%
Hao 1% tuwaache watwitike
Mie naona labda alikuwa anashtakia wezi kwa watz, ili akianza ku deal nao, msishangae... tumpe muda na kazi iendelee...Anajua kabisa Kuna watu wanaiba alafu wizi wao unakua sehem ya maongez badala ya maamuz yani fulan kaiba kuku wangu Kala supu Leo alafu unampotezea what next?
Ikulu ya Tanzania nayo unaona ni bonge ya ikulu mpaka watu wanaojitambua watetemekee kushona suti?Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais....