Hivi hizi taasisi zetu za utafiti kama; TARI, NALIANDELE n.k miaka mingi nimekuwa nikizi sikia lkn sioni mchango wowote ktk kuinua kilimo nchini Tanzania.

Miaka nenda miaka rudi kilimo chetu hakina tija, halafu kuna watu wanalipwa kwa ajili ya utafiti!!!

kama kweli kama serikali inania ya kuinua kilimo chetu na uchumi ukue basi hizi taasisi hizi za utafiti ziwajibike kweli kweli...... wafanye kazi ionekane...wasiachwe wanakula mishahara tu. wapo wapo tu....huku kilimo kina didimia....hakuna tija
 
Jana RAIS alipozungumzia KUKUTANA na WAPINZANI ili kurudisha DEMOKRASIA, makofi yalikuwa MACHACHE sana BUNGENI... SABABU inajulikana, WABUNGE wote wa sasa ni matokeo ya UBAKAJI mkubwa wa demokrasia kwenye awamu ya TANO

Point nzito za Rais ambazo hazikupigiwa Vigelegele Bungeni 1. Kuhusu Democracy, Umoja ,Haki na uhuru 2. Kutaka watu wamkosoe bila woga . 3. Kutaka Bunge kujadili mambo ya msingi.
Kama hayo ndiyo ya msingi kwako kuliko Maji, umeme, kodi, maslahi ya watumishi, atcl na elimu basi akili yako INA tatizo
 
Kupigiwa Makofi ulevya.Kiongozi wetu wa dini alipiga marufuku kupigiwa Makofi akihubiri neno likaingia.
 
Bungeni tangu waondoke kina Heche, Tumbili, Msigwa, Sugu, Mbowe, Lema kumekua sio bunge Tena.
 
Yale makofi kiuhalisia yalikuwa yanakera sana mpaka inafika muda Mama inabidi ayakatishe kwa kuendelea kuongea.
 
1. Uvuvi
Ningependa ziboreshwe sheria lakini pia tuwe na taasisi imara na si viongozi imara

2. Tehama
Lazima twende na uwekezaji wa vijana wanaokuja na mawazo bora yenye tija kwa Taifa kwa kuwapa mikopo yakutosha
 
Ila Watanzania mna Bahati sana kwakweli!......kumpata Rais Mwanamke km alivo yeye km yeye, kwanza Presentable!! na watu ke'' wa namna hii huwa wanahuruma na Hekima Kubwaaa......sijui nirudi nchini??

kwa sababu huyu Muheshimiwa Rais km alivo hakuna anaye/atakaye! jaribu kumpinga/chukia...hata hao wanao msema sema hao ni kujifanya fanya tu!...

lkn Rohoni wana ukili! Honourable Mama Samia suluhu Hassan kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano!! ..rohoni wana furaha kubwa mnoo!........wasijifanye fanye!

Hili tu limewafanya wabongo, kumsamehe na kumsahau Makonda faster na Milele! ...Makonda hataguswa! kwa kitendo cha kumpendekeza Mama Samia kwa Jiwe!.....
 
Back
Top Bottom