Naona unaanza kulazimisha mabasha kinguvu. Si unajua mimi kukulaza na viatu sichelewi?
We ni fala fulani ila hujitambui kama ni fala ambae huna mbele wala nyuma. Ulishakula kifiro sana ndio maana huna akili.
 
Kuwaamini wanasiasa ni upungufu wa akili na kupoteza muda. Hawa watu huwa wanaamini nchi hii na vyote vilivyomo ni vyao peke yao na familia zao. Yaani ahadi ya kuongeza mishahara kwa watumishi ipo kwenye kila hotuba, lakin utekelezaji ni zero
 
Wewe itabidi ukafanye brain scan.

Mama samia ameingia juzi tu unategemea afanye mangapi na nini kwa muda gani?

Au unadhani utekelezaji wa mambo ya kiserikali ni kama kunyanyua kidole na kuanza kutype nonsense ili upate likes?
 
tupunguze mipango tudeal na machache tunayoweza, tunashika shika mengi sana kwa pamoja.....hii inaitwa kudanda danda..

Tuchague vipaumbele vitatu muhimu tukomae navyo kwa 10yrs tuvimalize kabisa kiufanisi ndio tushike vingine....

Jk wakati anaondoka tayari LNG ilikuwa mezani, tayari Kinyerezi tulikuwa phase 2....tungemaliza kwanza haya mapema kabla ya kudandia mengine.....tungeimalize ile LNG project tungekuwa tayari mapato yake in 10yrs ijayo yanajenga reli, tungeimaliza kinyerezi tayari tatizo la umeme lingetulia hata kwa 30yrs huku tunafanya mengine...

tupunguze mipango twende na michache muhimu tuimalize izarishe tuone ufanisi na mapato yake yaende kwingine...
 
leo mama anasema mahitaji yetu ya umeme at peak time ni 1200MW na uzarishaji wetu ni 1600MW. Kinyerezi ingemalizwa 5yrs za JPM tungekuwa na excess mpaka ya 1500MW...5yrs nyingine tungekomaa na transimission lines + kuanganisha mikoa yote kwenye gridi....hapa tungekuwa tumemaliza shida ya umeme na miundo mbinu yake.

Ile hela ya stiggler ingekuwa mtaani huku kwenye mzunguko tunaminyana nayo kuongeza wigo wa kodi wa TRA na wakati huo huo watumiaji wa umeme wangekuwa wengi na tanesco tayari ingekuwa inajiendesha.

Tungesukuma gurudumu kuanzia 2025 mpaka 2055 tungekuwa tuna cash mkononi ya kulijenga listiggler bila kukamua raia huku.
 
Anajua kabisa Kuna watu wanaiba alafu wizi wao unakua sehem ya maongez badala ya maamuz yani fulan kaiba kuku wangu Kala supu Leo alafu unampotezea what next?
Mie naona labda alikuwa anashtakia wezi kwa watz, ili akianza ku deal nao, msishangae... tumpe muda na kazi iendelee...
 
Maneno mengi kweli. Hotuba zina ahadi sanaaaaa.. ambapo mostly hayo yanaweza kuelekezwa huko mawizarani au kwenye vikao vya baraza la Mawaziri. Akisimama aongee vitu vikubwa kwa nchi, vision yake in summary basi.
 
Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais....
Ikulu ya Tanzania nayo unaona ni bonge ya ikulu mpaka watu wanaojitambua watetemekee kushona suti?
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom