Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais...
Kwani ahadi zinatekelezwa kwa wiki wiki?? Muda ukifika tutaona lakini sio kulaumu hata muda bado..
 
Mbona Umepiga U-TURN mapema sana?
Umeachana na mahaba yako kwa Mwendazake?

Week 3 zilizopita wewe ulikuwa mpinzani wa sera za mama, ghafla leo unazishabikia sera zilezile ulizokuwa unaziponda.

Mataga bana....
Weredi mkubwa waliofanikiwa CCM ni kuwaweka wanachama na wapenzi wa chama pamoja pale panapotokea migongano ndani chama na serikali,kwa hili CCM wamebobea mno.

Wewe kaa usubiri Meli kituo cha mwendo kasi.

Wembe ni uleule kwasasa unataka upande wa pili kazi iendelee.

Mungu mbariki Rais Samia.
 
Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais...
Kwani ulitarajia maajabu gani ambayo angeyafanya kwa mwezi mmoja?
 
Ninawambia ninawambia mpk sasa zimetoka ahadi 27 toka tarehe 31-3-2021 hata moja hawajateleza kwa vitendo tukianza na ile ndogo tu ya vifurushi vya simu mpk sasa ni mitandao 3 tu ndo imetii mingine yote imegoma sasa kama CEO wanakuletea kiburi na kukaidi maagizo itakuwa wengine?...
Wewe mwenyewe umekiri kwamba mitandao mitatu imetii, sasa unataka tuwachape viboko labda!

Binadamu hatuna wema kila tunalofanyiwa tunatafuta kosa na kulikuza. Hiyo amri imetoka lini na mpaka sasa utadhani labda imepita miaka haijatekelezwa..
 
Lakini nikizikumbuka enzi za MAGU,naona Mara 100 MAMA hata akivurunda hatafkia nusu ya Magu
 
Hahahaaaa....... Kazi Iendelee bwashee!

Kweli atake asitake tutamuongeza muda !!
IMG-20210421-WA0001.jpg
 
Anajua kabisa Kuna watu wanaiba alafu wizi wao unakua sehem ya maongez badala ya maamuz yani fulan kaiba kuku wangu Kala supu Leo alafu unampotezea what next?

Exactly my point, alitakiwa atuambie kuna hawa na hawa wamechukuliwa hatua hizi na hizi kwa sababu ya wizi.

Au kuzidirect mamlaka husika kuwachukulia hatua na si kulalamika. Kulalamika atuachie sisi.
 
Njia pekee ya wao kuondoka ni waliowaweka kuamua kuwaondoa, mahakama kusitisha ubunge wao au Spika kuamua kuwaondoa.
Hii Nchi ni ya Watanzania wote si ya maccm wala ya Samia ni LAZIMA Katiba IHESHIMIWE ili kuzuia huu wizi wa zaidi ya bilioni 3.6 roughly kwa mwaka
 
Mambo ya ajabu sana. Katiba imembeba kuingia Ikulu lakini yeye kashindwa kuiheshimu ili kuwaondoa hao COVID-19!!! Mambo ya ajabu sana ya kuchagua vipengele vya katiba ambavyo vinamfagilia yeye lakini kuvidharau vile ambavyo vinasimamia maslahi ya Watanzania (walipa kodi)
Unataka afanye nn kwenye COVID 19? au unataka akuletee dawa za kukukinga na covid au unataka atuweke lock down, acha umaskini wa fikra.
 
Tuombee uhai wa Magu? Kwani kafufuka?

Au na mimi nimekufa kama mkuu wa mkoa wa Mbeya?

Asprin jamani wapi tena nimesema hayo?
Tuendelee kumshukuru Mungu kwaajili ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli
Tunamshukuru kwaajili ya Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
 
Back
Top Bottom