Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 46,625
- 2,000
Ikulu ya Tanzania nayo unaona ni bonge ya ikulu mpaka watu wanaojitambua watetemekee kushona suti?Nchi hii imeshakuwa ya kijinga sana yani tumekuwa Taifa la kupima uelekeo wetu kwa maneno tu yaani leo tukiambiwa kuwa mwaka ujao kila Mtanzania atakuwa na gari basi watu wote wanatoa meno nje na kusema ama kweli tumepata Rais....