Kuwa solved kwa hawa Covid 19 lini sasa,mtu wa mwisho ambae ni Rais kapiga kimya?
Alafu akuna mtu aliiba kura chif kila kituo kilikua na wakala,kama wakala alifika price tag basi hiyo ni udhaifu wa wakala,kila mgombea ama chama kinataka ushindi,pahala utakapo legea ndo hapo mpinzani wako atapitia.
Price tag mbele ya Mtutu wa Bunduki ni nini zaidi ya kusurender??. Sema mmechukia Mama alipotaja neno Demokrasia...
 
Mkuu nilijua ni mimi peke yangu niliyesikia yale yale ya kale! Utapopomwa hapa but ukweli ni kwamba talkers are not good doers at all! Time will tell Let us wait and see!
"Talkers are not good doers at all!!"

Ni kweli kabisa! Hata jiwe alikuwa anaongea sanaaaaa lakini mambo hayaendi!
 
Viongozi wa waislamu uamsho waachwe na kulipwa fidia wako kwenye kifungo ambacho hawakustahili viongozi wanajua hata mahakama inajua unafanya kosa zanziber unakuja kuwekwa rumande tanganyika
 
Yaani mama ndo kwanza ana mwezi na siku tatu mnataka awe kaigeuza Tz kuwa kama China.

Halafu jiwe miaka kumi mliona haimtoshi mkaanza upuuzi wa kuilawiti demokrasia ili atawale 'milele'

Tuachieni mama yetu anatosheleza, mnaomtaka jiwe njia ni nyeupe, kamba na sumu za kila aina zimejaa tele.
 
Toka katoa tamko la vifurushi mpaka Sasa hajatekeleza kaliacha ila anataka atuahid kua anataka afanye mengine
 
Angeshungulika na swala moja baada ya lingine subir akipata hotuba ingine uone mapya yatayo Semwa umo Maswala ya Bandar na mishahara atakua kyamaliza tayar atakuja na Ahad mpya
Sasa hivi Mheshimiwa atakuwa anaandaa hotuba nyingine ya Mei Mosi.
 
Back
Top Bottom