Ruvuma: Wazazi wamuua mtoto wao ili wapate utajiri

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Baba wa kambo na mama mzazi wanashikiliwa na polisi Ruvuma kwa tuhuma za kumuua na kumfukia kwenye shimo la takataka mtoto wao wa miaka 6 aitwaye Paul Haule huku sababu zikiwa ni imani za kishirikina ambapo wamesema wamefanya mauaji hayo wakiwa na nia ya kupata utajiri.

Tukio limetokea katika Kijiji cha Peramiho A kata ya Peramiho wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.

Kafara.png
 
Wajinga sana, haya mambo yapo ila yanafanywa kimyakinya kwa kupitia matukio mbalimbali mf. Ugomjwa unaofanana na malaria, ajali, hata kupitia ukimwi.
 
Baba wa kambo na mama mzazi wanashikiliwa na polisi Ruvuma kwa tuhuma za kumuua na kumfukia kwenye shimo la takataka mtoto wao wa miaka 6 aitwaye Paul Haule huku sababu zikiwa ni imani za kishirikina ambapo wamesema wamefanya mauaji hayo wakiwa na nia ya kupata utajiri.

Tukio limetokea katika Kijiji cha Peramiho A kata ya Peramiho wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.

View attachment 2531411
Huu ndio ujinga ambao watu wajinga wanatakiwa waogope tu kwamba wakifanya watakamatwa.
Hapo kuna wasababishaji. Hawa ni wajanja kama wale waliyomuita magufuli mshamba. Wanadanganya wajinga kwa lengo la kujipatia kipato. Utawala wa kihuni uliyoingia ukatoa green light kwamba wajanja wote waendelee na kazi. Ndio maana yote ya ujanjaujanja kudhulumu wananchi yamerejea kwa kasi.
Nchi inahitaji ukombozi 2025.
 
Baba wa kambo na mama mzazi wanashikiliwa na polisi Ruvuma kwa tuhuma za kumuua na kumfukia kwenye shimo la takataka mtoto wao wa miaka 6 aitwaye Paul Haule huku sababu zikiwa ni imani za kishirikina ambapo wamesema wamefanya mauaji hayo wakiwa na nia ya kupata utajiri.

Tukio limetokea katika Kijiji cha Peramiho A kata ya Peramiho wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.

View attachment 2531411
Kweli hii nchi ina wajinga wengi!

Sasa kuua mtoto, na kupata huo utajiri kuna uhusiano ganii!! ☹️
 
Back
Top Bottom