wanamuziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Amaizing Mimi

    Kwa Wamiliki wa Band na wanamuziki wa Dansi wekeni kazi zenu mtandaoni

    Salamu kwenu wabamuziki na wamiliki wa bendi za muziki wa dansi. Kwanza niwape hongera kwa kazi nzuri ya kuburudisha, kuelimisha na kuhabarisha jamii. Pamoja na kuwa mlifanya kazi nzuri sana muska hiyo, changamoto tunayopata sisi wadau wenu ni upatijanaji wa kazi zenu mtandaoni. Leo hii...
  2. V

    Hawa Ndio wanamuziki kiboko kabisa

    Naanza na East Africa,Kuna wanamuziki ambao tangu niwajue hawajawahi toa ngoma mbovu msijichoshe sana wapo wawili: Tanzania Albert Mangwea[A.k.a Mimi] (R.I.P) Huyu Jamaa hajawahi bahatisha,mbali na Akili nyingi nguvu kidogo,alikuwa na Akili ya kucheza na melody kama Kiroboto ila alikuwa ana...
  3. Hance Mtanashati

    Hizi hapa bifu zaidi ya 60 zilizowahi kutikisa hapa nchini zinazohusisha wanamuziki, watayarishaji wa muziki, media nk

    Zifuatazo ni bifu zilizowahi kutokea hapa nchini ,baadhi yao ziliwahi kutokea na wahusika kumaliza tofauti zao na nyingine bado zinaendelea mpaka sasa. Clouds media vs Kalapina Clouds media vs Pfunk Clouds media vs Dudubaya Ruge vs Lady JayDee Ruge vs Sugu Ruge vs Diamond Platnumz Ruge vs...
  4. MamaSamia2025

    Tazama hapa Hiphop freestyle ya wanamuziki wa Congo. This is a pure talent.

    Muziki unawatii hawa viumbe. Wameshindikana.
  5. Christopher Wallace

    Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

    Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000. Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva...
  6. Rwaz

    Nikumbushen: Show ya Wanamuziki wa Dansi wa DRC na Tanzania kusherehekea uhuru wao ni lini na wapi Dar?

    nawasalimia kwa jina la Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo. Nisiwachoshe. maana tayar mna uchovu wa mpambano wa kitaifa kati ya serkali na kanuni ngumu za kodi vs wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa kuuzia mizigo stoo bila risit. Niliona kwenye tv maandalizi ya show kubwa ya dansi...
  7. Christopher Wallace

    Leo tuwakumbuke wanamuziki wa mamtoni waliotamba miaka ya nyuma

    Naanza na Ja Rule. Mwamba alitikisa miaka ile kwanzia mziki mpaka picha zake zilikuwa zinabandikwa sana kwenye magari. Afu mwamba mwingine ni Nelly aliwaharibu sana vijana wa Kitanzania kila mmoja alikuwa anabandika plasta shavuni😂😂 Kulikuwa na t-shirt flani zina oicha yake zilivaliwa sana!
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wajue wanamuziki 45 walioshiriki kuimba wimbo wa WE ARE THE WORLD

    • Quincy Jones • Lionel Richie • Stevie Wonder • Paul Simon • Kenny Rogers • James Ingram • Tina Turner • Billy Joel • Michael Jackson • Diana Ross • Dionne Warwick • Willie Nelson • Al Jarreau • Bruce Springsteen • Kenny Loggins • Steve Perry • Daryl Hall • Huey Lewis • Cyndi...
  9. aka2030

    Wanamuziki bora wa ku-rap kwa kizazi cha sasa

    Kwa hiki kizazi cha sasa haina shaka hawa ndio wanamuziki bora wa kurap 1. Nacha 2. Stamina 3. Young Lunya 4. Chid Mentary 5. Tommy Thomas
  10. sky soldier

    Hongereni Wasanii kwa kujitambua: Wasanii watoa siku 2 kwa mchekeshaji Steve Nyerere kuondolewa nafasi ya usemaji wa wanamuziki

    wapi na wa wapi dereva awe msemaji wa wapishi, mchekeshaji awe msemaji wa wana muziki.... haya mambo yalifanyika kwa kukurupuka mno kwa kweli, Kwanini Steve Nyerere anang'ang'ania sehemu ambayo watu anaotaka kuwaseemea hawamtaki ? ni wazi pia tabia za Steve zimefanya wasanii wawe na hasira na...
  11. I am Groot

    YouTube 'Sub Sahara': Wanamziki wenye subscribers wengi 2021 kwenye mtandao wa youtube.

    Hii Ndiyo Orodha Ya Mastaa Wa Muziki Afrika (Kusini Mwa Jangwa La Sahara) Wanaoongoza Kwa Wafuasi (Subscribers) Wengi Katika Mtandao Wa Youtube 1: diamondplatnumz 🇹🇿 - 6.03 Million 2: rayvanny 🇹🇿 - 3.46 Million 3: harmonize_tz 🇹🇿 - 2.96 Million 4: davido 🇳🇬 - 2.82 Million 5: fallyipupa01 🇨🇩...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Wanamuziki acheni kulalamika hampewi sapoti. Mnataka sapoti ipi?

    WANAMUZIKI ACHENI KULIALIA HAMPATI SAPOTI; MNATAKA SAPOTI IPI? Kwa Mkono wa Robert Heriel. Imekuwa ni kawaida sasa watu hasa wa Tasnia ya muziki kulialia Mbuzi mee kila iitwapo leo. Ooh! Hatusapotiwi! Tunazimwa! Tunafanyiwa figisu figisu! Kuna Wasanii wanatukandamiza! Yaani KELELE kelele Kama...
  13. B

    Wanamuziki kutoa video za kubuhusiana zina faida gani?

    Wanamuziki kwenye nyimbo zao za video wamekua wakibuhusiana wakati mademu hao si wao inasaidia nini? Unakuta nyimbo ni nzuri kusikiliza ila ukija kutazama video utamani hata watoto wako waiangalie hii wadau mwaionaje?
  14. Krikichino

    Wasanii watano kutokea South Korea ambao ni waigizaji na wanamuziki kwa pamoja

    Kwa hapa Tanzania wasanii hawa tungewafananisha na Nandy, Quick Rocca, Rommy Jones au Shilole. Kwenye futiboli tungeweza kuwaita viraka maana ukiachana na uigizaji wao mzuri pia wana uwezo mkubwa kwenye kuimba. Leo nataka niwalete kwenu wasanii watano kutokea korea kusini ambao ni waigizaji pia...
  15. Allen Kilewella

    Kwanini Diamond Platnumz hayumo top 20 ya wanamuziki matajiri Afrika?

    Imenishangaza Sana lakini ndiyo ukweli ulivyo. Yaani sijui wanatumia kigezo Gani kupanga hao wasanii matajiri!!?? Yaani Diamond hajafikia kuwa na ukwasi wa kutosha kuwa kwenye Orodha ya wanamuziki 20 matajiri Afrika!??
  16. The Sheriff

    Si kila jengo, eneo na barabara lazima ipewe jina la Mwanasiasa au Kiongozi. Kuna Wanamichezo na Wasanii wanaopaswa kuenziwa ili kulinda historia yetu

    Marehemu mzee Morris Nyunyusa Nina jambo moja ambalo huwa linanitatiza kidogo. Majina ya viongozi wa kisiasa ndiyo yametanda kila kona ya nchi yetu. Kuanzia majengo, mitaa, barabara, taasisi za elimu na nyinginezo. Hili sina shida nalo na wala sina dhamira ya kulifanya kuwa shida akilini mwangu...
  17. Amalinze

    Wanamuziki wa Kimarekani walioweka mistari ya Kiswahili ndani ya nyimbo zao

    1. Mc Lyte, 1991 My mother put me in weusi shule which means black school in swahili MC Lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself. 2. Nas na Damian Marley, 2010 Nas and I can speak rap star Y'all feel me even if it's in Swahili habari gani? Damian Marley: Nzuri sana 3. Michael Jackson, 1987...
Back
Top Bottom