Miezi 9 imetimia lakini mtoto hajageuka tumboni

Mtanzatozo

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
972
1,163
Habari wandugu!

Poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia.

Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yoyote atageuka tu! Sa sjaelewa vizuri, anatutia moyo au la!

Nina hofu sana jamani.
 
Habari wandugu! poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia!
Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yyte atageuka tuu! sa sjaelewa vizur, anatutia moyo au la! nna hofu sana jamn.
Kama ni Breech presentation, delivery is possible without any complications.
 
Habari wandugu! poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia!
Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yyte atageuka tuu! sa sjaelewa vizur, anatutia moyo au la! nna hofu sana jamn.

Kafanyiwe operation usisikilize mtu, I almost lost a wife kwa kumsikiliza daktari mjinga Selian Arusha Tukae tu, then specialist same hospital alipokuja akasema andaeni kitanda
 
Kafanyiwe operation usisikilize mtu, I almost lost a wife kwa kumsikiliza daktari mjinga Selian Arusha Tukae tu, then specialist same hospital alipokuja akasema andaeni kitanda
Narudia tena nenda Hospital kubwa Mwone Dr Senior, mtu mzima, mda ukiisha mfumo wa chakula cha mtoto waweza kuwa hauko tena active, thank me later, pamoja na Cheti udaktari ni udhoefu
 
Ngoja nitulie niandike vizuri utanielewa; mimi Sio daktari, ni engineer ila kwa shida nilizopata sitaman mtu mwingine apitie!
 
Narudia tena nenda Hospital kubwa Mwone Dr Senior, mtu mzima, mda ukiisha mfumo wa chakula cha mtoto waweza kuwa hauko tena active, thank me later, pamoja na Cheti udaktari ni udhoefu
NAFANYA HIVYO KAKA..
 
Kapigeni ultra sound itaonyesha position ya mtoto, pia afanye mazoezi ya kutembea tembea inaweza saidia bila hivo aende hospital kubwa maana mwaweza sema ni miezi tisa kumbe bado haijatimia.

I wish your wife safe delivery
 
Uwezekano wa kugeuka ni mdogo kwasababu hakuna nafasi tena kwenye tumbo la uzazi kumtosha mtoto kugeuka,.ni vema ukiwahi hospital kuliko kukaa ukisubiri mtoto ageuke,.

All in all nikutakie kupakata mwanao..
 
Narudia tena nenda Hospital kubwa Mwone Dr Senior, mtu mzima, mda ukiisha mfumo wa chakula cha mtoto waweza kuwa hauko tena active, thank me later, pamoja na Cheti udaktari ni udhoefu
HUyu amemaliza kila kitu, fuata ushauri huu na si vinginevyo
 
Mtoto kugeuka ni process ya muda; na mechanism ya function ya Mwili kuna sababu kwa nini hajageuka.

Mimi nipo makini kidogo, baada ya mda kupita, just 4 days nikaenda piga ultra sound, nikaambiwa hajageuka, nenden Hospital.

Tukaenda Hospital, daktari mdogo Mdada akatujibu vibaya na kwa kejeli, atageuka tu, nyie nendeni nyumbani mpaka Uchungu.

Sikurizika; kwa nini? Nina rafiki yangu had a similar case, wakangoja uchungu; ukaja, wakaanza process ya kujifungua kawaida; wakiwa katikati ya zoezi, wakaona mtoto hawezi toka, Mama kachoka!

Wakaanza operation when it is too late, mtoto na Mama hawakuweza vumilia na tuliwazika Mama na Mtoto!

Nilipoenda kwa Dr senior akasema huyu mtoto hawezi Geuka tena, na Kondo la chakula doesn’t supply food; aandaliwe kitanda, sikuwa na hela, akasema hivyo hivyo mtalipa siku ingine, ni serious issue!

Madaktari wa Tanzania si watu wa kuwasikiliza bila kuongeza akili yako? Kila unachoambiwa kihakiki mara 5 kwa madaktari wengine ambao labda hawana maslahi ya moja kwa moja na chochote ili upate ukweli!
 
Ksbb miezi 9 imetimia,nenda kamtoe tu kwa oparation haraka. Usisubiri,inaweza kuwa hatari kwa mama na kwa mtoto pia
 
Mtoto kugeuka ni process ya mda; na mechanism ya function ya Mwili kuna sababu kwa nini hajageuka.

Mimi nipo makini kidogo, baada ya mda kupita, just 4 days nikaenda piga ultra sound, nikaambiwa hajageuka, nenden Hospital...
Ni kweli mkuu tujifunze kuheshimu pia ile hali ambayo unakuta unaambiwa kitu na mtaalam unahisi kabisa analupeleka chaka ila unajipa moyo kuwa it will be all right. IT WON'T

Ukiona anakupa majibu ila nafsi yako inakataa kuyaamini kirahisi GET A SECOND OPINION ....uoga sio dhambi
 
Back
Top Bottom