kutazama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Kutazama juu kutokea chini kunavyo badili mtazamo wako kihualisia

    Mtazamo (perspective) hubadilisha kila kitu. Katika ubunifu (design), upigaji picha, au maisha ya kila siku, jinsi unavyoweka "lenzi" yako ndivyo inavyoamua mwonekano wa hadithi unayoisimulia. Unapobadilisha mtazamo na "kuangalia juu" (looking up), papo hapo unabadilisha jinsi picha au...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nadhani ni muda sasa baadhi ya taarifa ziwe na limitation ya kutazama

    Wakuu mulewapanga! Nilimsikiliza waziri wetu wa Wizara ya Habari Sanaa Michezo na Utamaduni, Mh Paul Christian Makonda akielezea kuhusu baadhi ya taarifa au habari kuwa ni za ukakasi kwa jamii lakini wana habari wamekuwa wakizipeleka kwenye jamii Hivyo kuna haja sasa tuanze kudhibiti baadhi ya...
  3. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kuwa mraibu wa kutazama porno ni mental illness

    Kwa nini uwe umeathirika kiasi cha kuzoea kutazama wanaume wenzako wakifanya ngono? Unakaa na kuangalia kwa makini video za wanaume wenzako wakishiriki tendo la ndoa na wanawake? Una shida ya akili wewe si bure
  4. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kwamba nao watakaa tu kimya na kutazama imani yao inavyobagazwa na kubanangwa?

    Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua? Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
  5. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kesho tujitokeze kwa wingi kutazama mazoezi ya club yetu

    Ndugu wanaSimba, Kesho hakutakuwa na mabaunsa, tujitokeze kutazama mazoezi ya timu yetu kujiandaa na mchezo tarehe 15 June 2025. Dj sinyorita atakuwepo.
  6. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Ni miaka sasa niliacha kutazama habari kwa tv

    Siasa Imeacha nisiangalie habari yyt kwa tv. Kuna mengi sana dhuluma na ufisadi. Kutowajibika kwa watendaji wa umma
  7. HenrysoN

    JamiiForums Tanzania Sehemu 15 za kutazama movies & series bure (online) – no netflix, no stress!

    📌 Burudani bila kulipia? Ndiyo, inawezekana! Kwa mashabiki wa movies na series — kama wewe ni mpenda burudani lakini huwezi (au hutaki) kulipia Netflix, Showmax n.k., basi uzi huu ni kwa ajili yako. Mimi binafsi natumia zaidi OnStream na HDToday hizi sio lazima VPN — apps kali ambazo...
  8. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Muda wa matumizi ya ving'amuzi vya TV kwanini usihesabiwe kwa siku halisi za kutazama?

    Kwa mfumo wa sasa wa malipo ya ving’amuzi vya TV, kifurushi cha mwezi hukatika baada ya siku 30, bila kujali kama mtumiaji ametazama TV kila siku au la. Hii inamaanisha kuwa hata ikiwa mtu hajaangalia TV kwa muda mrefu ndani ya mwezi huo au hata mwezi mzima, bado atalazimika kulipia kifurushi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Operesheni tokomezeza flash disk na mawaya, Nawezaje kutazama video za kwenye computer kwenye Tv kwa kutumia wifi ( wireless )

    Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja kwenye TV bila kugusa laptop. Nimechoka kudownload videos kwenye pc kisha niiingieze kwenye flash...
  10. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Movie & series za kutazama wiki hii

    Bilionea ambaye ni mgonjwa mahututi anafanyiwa upasuaji mkali wa kuhamishia fahamu zake kwenye mwili wa kijana mwenye afya njema. Walakini, hivi karibuni anagundua kuwa mwili wake mpya unakuja na historia yake Mwandishi Eddie Morra ana uhakika kwamba ana mustakabali mbaya baada ya kupoteza...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

    Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030. Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
  12. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Nimeacha Rasmi Kutazama Mechi za Yanga NBC PL

    Happy Holiday! Natumaini mnaendelea vizuri wana-Jamiiforums. Msukumo wa kuandika andiko hili umetokana kuangalia mechi tatu, pale ambapo Yanga amekutana na Mashujaa, Tanzania Prisons na hii mechi yake ya mwisho dhidi ya Dodoma Jiji. Nimekua shabiki kindaki ndaki wa mpira wa Tanzania...
  13. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha nne 2012: Turudie kutazama ugumu wa Elimu. Re-visiting the old grave

    Habari wanajukwaa! Nimeyaangalia matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012, aisee! Kwa wote waliofaulu mwaka huo nawapa heshima yenu. Nimeyaangalia matokeo ya mara ya kwanza (Original) na ya mara ya pili (Re-Scored), hivi shida ilikuwa ni nini iliyopelekea matokeo kurudiwa? Hii screenshoot ya...
  14. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Visa hivi ni vya kuvipa muda

    Katika muda huu wa mchana, bwana Cllint, mmiliki wa kampuni ya ujenzi, yuko kazini kama kawaida. Anapopata nafasi anampigia simu mkewe, Joanna, na kumweleza ya kwamba leo atawahi kurudi nyumbani ili wawe pamoja kwasababu mwanamke huyo hatokuwepo weekend. Haipiti muda Clint anampokea mgeni...
  15. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

    Ifikapo wikiendi wanaume wengi utawakuta maeneo ya kunywa pombe na kutazama michezo hasa mpira, wamejazana kwa wingi wakitumia kwa urefu wa kamba zao. Katika jamii ya sasa ukiwa haufanyi mambo hayo, unaonekana kama bado sio mwanaume halisi, ili ukamilike ni lazima ubishane kuhusu mpira na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero amuomba Rais Samia kutazama upya bei ya ushuru wa mazao

    Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa wananchi. Assenga amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara ambao Rais...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kenya imeanza kutazama mbali zaidi, baada ya kuona huenda ikakaribiwa kiuchumi na kupitwa.

    Yatupasa kuamka na kuwa makini na kuona jinsi gani kasi yetu ya kuwa taifa lenye uchumi mkubwa Afrika ya mashariki na kati linatimia, by hooks and crooks! Katika kushindana na nchi ambayo kila wakati ipo macho!
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Mpunga Mbalali, Mbeya Wadai Serikali Kutazama Upya Kodi za Kilimo

    Wakulima wa mbunge katika Wilaya ya Mbalali, Mkoa wa Mbeya, wa nyimbo na changamoto ya kodi na kodi ambazo zinatishia uhai wa shughuli zao za kilimo. Kwa mujibu wa malalamiko yao, mkulima huyu hutozwa malipo ya shilingi 50,000 kwa heka moja kwa ajili ya mifereji ya maji. Hata hivyo, hakuna...
  19. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Part Two: Movies za kutazama na mpenzi wako. Usitazame na watoto

    Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo. 1. SECRETARY Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee anataka kuyaishi maisha kama mtu wa kawaida. Anautafuta ujuzi wa uchapaji (typing) kisha anaomba kazi ya...
  20. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Link ya kutazama Yanga Vs Mamelodi Sundowns hii hapa, unaweza pia kutazama mechi nyingine za ulaya

    Nimeona wadau wengi wakiulizia link ya kutazama mechi ya Yanga Vs Mamelodi Sundowns. Pia wengine huwa wanaulizia kutazama mechi nyinginezo za ulaya. Basi hii ndio suluhu ya kiu yako, mshtue na mwenzako! https://www.livesports088.com/
Back
Top Bottom