Baadhi ya vituo vya Luninga hawapo kwenye maombolezo ya Kitaifa

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Watanzania tuelewane hili jambo.

Msiba wa mzee Mwinyi ni wa Kitaifa kama tulivyoyangaziwa na CIC SSH.

Tuliona kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu tuliona Vituo vya Televisheni wakiboleza kwa siku zile 5 za msiba. Nimepita kwenye channel ya DSTV 388 hakuna dalili wala kiashiria kwamba wapo kwenye maombolezo ya kitaifa

Huyu aliyefariki ni Rais Mstaafu. Maana yake ni mkuu wa nchi ambaye aliongoza taifa hili la watu wenye imani tofauti na wasioamini.

Tofauti zetu za kiimani na kiitikadi na kinasaba zisituvue UTU na Uafrika wetu
 
Nchi lazima iendelee, unachokiona kwenye luninga kikiwa hewani kinalipiwa, rejesha pesa zao ili mkae mnalia.
 
Watanzania tuelewane hili jambo.

Msiba wa mzee Mwinyi ni wa Kitaifa kama tulivyoyangaziwa na CIC SSH.

Tuliona kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu tuliona Vituo vya Televisheni wakiboleza kwa siku zile 5 za msiba. Nimepita kwenye channel ya DSTV 388 hakuna dalili wala kiashiria kwamba wapo kwenye maombolezo ya kitaifa

Huyu aliyefariki ni Rais Mstaafu. Maana yake ni mkuu wa nchi ambaye aliongoza taifa hili la watu wenye imani tofauti na wasioamini.

Tofauti zetu za kiimani na kiitikadi na kinasaba zisituvue UTU na Uafrika wetu
Unajua baadhi ya makabila kwenye msiba wao ni sawa na harusi, msiba wa muisilamu mambo ni kimyakimya huku mkirisitu ni nyimbo na kunywa kwa kwenda mbele.
 
Sometimes mi naonaga dawa ni kupunguza kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu

No one can embrace you, as you nourish yourself bhana.
Kikubwa ka play part yake, basi Hilo ndo muhimu.

Ukisema why kina fulani hawafanyi?!, vipi kwenye mambo yao nyie mli fanya ???.
 
Mleta uzi asikilizwe kwanza, wengine hatuzijui hizo channel za DSTV.

Swali kwako mleta uzi.

Hiyo channel uliyoitaja huko DSTV ni local channel au ni ya nje?

Navyofikiri, local channel ndizo zinatakiwa ziomboleze na siyo kisimbuzi chote!
 
Siongeli kuacha kuonesha prog zake bali ile logo ya maombolezo ya kitaifa.

Na siyo kuonesha msiba live
Logo ya maombolezo ya kitaifa! Logo hiyo itakuwa ilipitishwa na bunge lako tu wengine hatuijui kwani serikali haijawahi kuitangaza, wewe ukipata uongozi utakuwa zaidi ya jiwe haki ya nani unalazimisha vitu visivyokuwepo kisheria.
 
Usinifananishe na mtu aliyeua watu huku wananchi tukiimbishwa kumpenda.

Ninaposema logo simaanishi huo upupu unaoutolea povu. Namaanisha utamaduni tuliojijengea wa kuweka japo alama kwenye luninga kuonesha tupo kwenye maombolezo ya kitaifa

Najua wewe ni mvivu wa kufikiri ndo maana umekuja na hoja mfu kabisa
 
Utamaduni huo tulijiwekea kwenye kikao cha wapi! Nenda TBC 1 omba wakuingize studio wakupe kiti ulie mpaka basi huenda tukiuona unalia na sisi tutahamasika kulia na nchi nzima watalia.
 
Back
Top Bottom