viatu

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni Ngumu kupata Mwenye Uwezo Wa Kuvaa Viatu vya Rais Samia 2025. Ikishindikana Kupata Mbadala wake 2030, Itabidi Tubadili Katiba ili aendelee

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia . Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi...
  2. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Viatu vya Mtume Mohamed vimetunzwa hadi leo

    Viatu vya Mtume Muhammad (s.a.w.), ambavyo kwa Kiarabu hujulikana kama Na'layn Shareef, vinapatikana na vimehifadhiwa katika Makumbusho ya Ikulu ya Topkapi (Topkapi Palace Museum) iliyopo Istanbul, nchini Uturuki. [1] Viatu hivyo vimehifadhiwa kwenye chumba maalum kinachoitwa Chumba cha Masalia...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimezidiwa na wateja karibu ya wananchi 500k hadi nashindwa kuwamudu na nina wasiwasi wakiongezeka wataniliza na viatu

    wakuu kwema, ushawai kuanzisha kitu kikubwa ukawa wewe ndio utaki wateja ?
  4. Hujaza Kibaba

    JamiiForums Tanzania Viatu vikali sana

    Nikuletee vingapi, size namba ngapi na rangi gani Tajiri, almost free delivery DSM ✅ BRAND NEW ✅ QUALITY ASSURED 📞 WhatsApp: 0787842558
  5. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuanza biashara ya viatu lakini hujui pa kuanzia? Huu ndio mwongozo muhimu unaohitaji kabla ya kuwekeza fedha zako

    Biashara ya viatu kwa rejareja ni miongoni mwa biashara zenye soko kubwa kwa sababu viatu ni hitaji la kila siku. Watu hununua viatu kwa ajili ya kazi, shule, michezo, sherehe, safari na matumizi ya kawaida. Hata hivyo, mafanikio hayategemei kuwa na viatu vingi pekee. Unahitaji kuelewa wateja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shekh Walid viatu vilimbana sana hadi vikamtoa sugu kwenye ncha za vidole

    Napendekeza apewe cheo Cha juu zaidi (Nakinzana na nyote mnaong'ang'ania arudishwe kwenye cheo chake) Kwa nini ? Utendaji wake kiufanisi utashuka kiwango chini ya wastani (35%) kutokana na misukosuko aliyopitia. PENDEKEZO; 1. Awe shekh wa mikoa (Mashekh wote wa mikoa wawe chini yake) 2...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuuza viatu kwa jumla naombeni maoni yenu

    Natarajia kuuza viatu kwa jumla naombeni maoni yenu.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ni duka gani la nguo na viatu naweza kupata bidhaa original?

    Wakuu nipo njiani kuja Dar ningependa kujua duka lenye bidhaa og namaanisha shati, tshirt, suruali ,viatu pamoja na crocs og.
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump awalazimisha viongozi wateule wake kuvaa viatu vya brand anayoipendelea

    Inasemekana Trump ameweka msisitizo kwa viongozi aliowateua kuvaa aina ya vitu anayoipendelea zaidi vya brand ya Florsheim. Inasemekana viongozi wengine hadi anawanunulia hivyo viatu anawatumia kama zawadi ili kuwapa presha ya kuvaa. Marco Rubio ameonekana akiwa amevaa aina hiyo ya viatu...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kitunguu Saumu kinamsaidiaje mtu aliyeathirika na kujichua?

    KITUNGUU SAUMU kinamsaidia vipi muathirika wa nyeto 👇🏼 Kitunguu saumu kina allicin, kiambata kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi. Sifa kuu za kitunguu saumu zinazokifanya...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu leo wakiasi uwezi kwenda kuwafungulia kesi za uhaini wakati wewe mwenyewe umewauwa ndugu zake wengi

    Watu leo wakiasi uwezi kwenda kuwafungulia kesi za uhaini wakati wewe mwenyewe umewauwa ndugu zake wengi. Wewe ndio muasi na yeye ni mtetezi na mpigania haki huwezi kushinda hiyo kesi lazima utaulizwa umeuwa watanzania wengi na kuteka hadi maiti kwa sheria gani ?
  12. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nilianza kumuona Kyela akiuza viatu vya mitumba, wiki iliyopita nilikutana nae uwanja wa ndege

    Baadae nikakutana nae kwenye minada ya Shinyanga...Tinde...nikiwa na Grinaker LTA Kampuni ya ujenzi wa barabara, Baadae huyu mwamba akawa analeta mbuzi vingunguti....wakati huo sisi tunakula pombe pale relini... Mwamba kanunua lori kubwa kwa ajili ya biashara zake za kununua mikoani na kuuza...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa hili kuhusu biashara ya viatu

    Habari ndugu zangu, Naomba ushauri juu ya jinsi ya kununua viatu vya wanawake vyenye ubora kutoka China kuja Tanzania kwa bei nzuri. Je, kuna mtu yeyote mwenye mawasiliano ya wauzaji wa kuaminika au mawakala wa mizigo (cargo)? Ushauri wowote utathaminiwa sana. Asanteni
  14. S

    JamiiForums Tanzania Vaa viatu vyangu halafu chagua cha kuanza nacho...!

    Salamu ndugu wana JF Moja kwa moja kwenye mada. Chukulia kwamba Mungu amekupa uwezo wa asili wa kufundisha na katika kuishi kwako umegusa watu kwenye maeneo mawili muhimu: 1. Elimu ya kitaaluma 2. Elimu ya Kiroho(Uponyaji kupitia Injili ya Yesu Kristo,hapa kuna ambao wameponywa magonjwa...
  15. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Karibu tujadili fact za kisiasa: Kwa kujiweka katika viatu vya Rais wetu

    Tuanze na swali,Je political strategy aliyotumia kushinda uchaguzi huu ilikuwa sahihi au haikuwa sahihi?? na kwa nini? Maoni yako yazingatie fact zifuatazo;- 1.Dhamira ya mgombea ilikuwa ni lazima kushinda katika uchaguzi na kuendelea kuwa Rais; 2.Tukumbuke tayari alikuwa na model ya...
  16. pelani

    JamiiForums Tanzania Viatu vya ngozi vya kiume

    ✨ Handmade Leather Shoes (Premium Quality) ✨ 📌 Imara, zinadumu muda mrefu — perfect for everyday & office wear 🥿 Available Sizes: 40 • 41 • 42 • 43 • 44 • 45 🎨 Colors: Brown & Black 💰 Price: 45,000 TSH tu 🛠️ Kila pair inatengenezwa maalum kwa oda yako — ndani ya siku 3 unapata viatu vilivyo...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tuvae viatu vya Rais Samia, tumpe ushauri Kwa upole bila mihemko

    Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi 1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani 2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha 3. Taasisi na wahisani wa kimataifa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Muhaho wa Samia: alitaja taasisi zote zitakazomtembeza na viatu kichwani akashindwa kuitaja ICC

    Wote mmemsikia na mmemuona hata alivyokuwa akizungumza huku hawezi hata kuwatazama wajumbe wake wa tume yake ya mchongo. Soni kama yote na huku alijikuta yeye mwamba kuua watoto wadogo katika namna ya kihalifu kabisa. Yan huyu ni mhalifu sugu. Na mimi swali moja najiuliza kwanini alilenga kuua...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kutembeza viatu grade one vya mtumba pamoja na mashati ya kiume

    Kama kichwa Cha habari kinavojieleza ukiwa ni kijana njoo tufanyie kazi. Mimi napoint viatu karume na mashati ya kiume na Sasa natafuta mtu ambaye anachukua mzigo kwangu anauza faida tunagawana nusu kwa nusu. Ishu hapa huhitaji mtaji ila inahitaji uaminifu na moyo wa kufanya kazi kutafuta...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha kumekuwa na tabia ya wauzaji wa Vitu sana sana Viatu na nguo kuwauzia wateja vitu feki

    Hii imenikuta mimi nikiwa Arusha kuuziwa Viatu feki. Niwaombe mamlaka ya Mapato Tanzania TRA mkoa wa Arusha wafanye uchunguzi kwa wauzaji wa viatu maeneo ya kariakoo ya Arusha. Wauzaji tukiwaambie watupatie risiti hawafanyi hivyo badala yake wanatuzungusha na kuwa hawatoi. Ukijaribu kufuatilia...
Back
Top Bottom