kipindi cha mvua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MINING GEOLOGY IT

    Zifahamu faida za nyasi kipindi cha mvua na kiangazi

    Nyasi ni aina ya mimea inayojumuisha familia mbalimbali ya Poaceae (au Gramineae). Mimea hii ina tabaka ya nje ngumu inayoitwa utando wa nje, inayojulikana kama epidermis, na tabaka la ndani lenye seli zinazojaa maji. Zaidi ya hayo, nyasi zina mfumo wa mizizi ambao unajumuisha mizizi mingi...
  2. JanguKamaJangu

    Wizara ya Afya yatoa tahadhari kwa Wananchi kipindi cha Mvua

    Ili kuepuka au kupunguza madhara ya kiafya yanayoweza kuletwa na mvua kubwa au mafuriko, Wizara ya Afya inatoa rai kwa wananchi kuchukua tahadhari zifuatazo wakati wa mafuriko: 1. Watahadharishe watoto na watu wengine kukaa mbali na mitaro ya maji, nguzo za umeme, kuta za nyumba na maeneo...
  3. Vincenzo Jr

    Kipindi cha mvua wanawake mtuonee huruma jamani

    Nini kimeongezeka kwenye baridi mpaka wanawake waringe? Kumekuwa na tabia kipindi hiki cha mvua na baridi sisi wanaume kunyimwa unyumba tatizo ni nini jamani😭😭😭😭😭😭😭😭
  4. R

    Mbezi Beach eneo la wadosi na wakubwa lakini kipindi cha mvua ni kama kambale kwenye dimbwi la matope!

    Wakuu, Mbezi Beach inasifika kuwa kuwa na wadosi watu wazito na viongozi mbalimbali hasa upande wa chini. Lakini kipindi hiki cha mvua Mbezi haitamaniki, barabara za ndani ni mbovu kupita maelezo, yaani utafikiri uko pale urafiki wanapouza kwenye soko la ndizi. Kwa kwa jinsi Mbezi Beach...
  5. Chachu Ombara

    Adhabu kali ziwekwe kwa wanaotapisha vyoo kipindi cha mvua

    Kumekuwa na tabia ya wananchi wasiostaarabika kufungulia chemba za vyoo(Kutapisha Vyoo) kipindi cha mvua zinaponyesha. Hii tabia ya kishenzi ipo hasa Dar es Salaam mitaa ambayo miundombinu ya gari la kunyonya majitaka ni mibovu kiasi kwamba hapafikiki kwa urahisi. Pia wengine wenye tabia hiyo...
  6. Maguguma

    DOKEZO Barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vya mkoa wa Ruvuma hazipitiki kipindi Cha mvua

    Kipindi cha mvua barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vilivyopo Mkoani Ruvuma hazipitiki kirahisi na zingine hazipitiki kabisa. hali inayopelekea wanakijiji wengi kusafirisha mazao yao kwa shida toka eneo moja kwenda eneo lingine. Inayoonekana katika picha ni barabara iliyopo katika Kata ya...
  7. Melki the Storyteller

    Pongezi za dhati zimfikie aliyegundua vazi la kanga kwenye hiki kipindi cha mvua

    Hapa ndipo nathibitisha kuwa mwanamke ni pambo la dunia, moja kati ya mapambo manne yaliyoanishwa na mtoto wa Nasib kisanaa. Ukikutana na mwanaume tall and dark akiwa ndani ya jacket ambalo ni water proof akikatiza chocho hadi chocho kwenye mvua kali ujue ni mimi. Nafanya tathmini ya vazi hili...
  8. B

    Tafuta nyumba au kiwanja kipindi cha mvua

    Ukitaka kujua ubora wa eneo unalofikiria kuhamia kwa kujenga makazi au kupanga tafuta eneo hilo wakati wa kipindi cha mvua. Itakusaidia kujua miundombinu kama inapitika au haipitiki. Kipindi cha ukame huwezi kujua na muda huo madalali hupata nafasi ya kuwachomekea wateja maeneo mabovu.
  9. SuperImpressor

    Nini faida na hasara ya kujenga kipindi cha mvua?

    Kama tunavyojua, mwaka una majira tofauti, na hivyo iwe kiangazi, kipupwe, vuli au masika, watu huwa tunaendelea kuchapa kazi ili mkono ufike kinywani. Sasa swali langu ni kama hivyo linavyosomeka hapo juu. Ila mimi binafsi napenda sana ujenzi wa nyumba ufanyike wakati wa kipindi cha mvua...
Back
Top Bottom