Mbezi Beach eneo la wadosi na wakubwa lakini kipindi cha mvua ni kama kambale kwenye dimbwi la matope!

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626
Wakuu,

Mbezi Beach inasifika kuwa kuwa na wadosi watu wazito na viongozi mbalimbali hasa upande wa chini. Lakini kipindi hiki cha mvua Mbezi haitamaniki, barabara za ndani ni mbovu kupita maelezo, yaani utafikiri uko pale urafiki wanapouza kwenye soko la ndizi.

Kwa kwa jinsi Mbezi Beach inavyobeba watu watu wakubwa kweli wanashindwa hata kuweka lami mitaani, au hata kumwaga kokoto. Yaani wao na Mikocheni ni aibu nyakati hizi, au na huko wavamizi wa kwenye kwenye njia za maji wamejaa na sababu ni wadosi basi wanashindwa kuchukuliwa hatua?

NSSF Mbezi Beach kwa hisani ya EATV
 
Dunia ya sasa habari bila picha/video clip sw n takataka tu
 
Wakuu,

Mbezi Beach inasifika kuwa kuwa na wadosi watu wazito na viongozi mbalimbali hasa upande wa chini. Lakini kipindi hiki cha mvua Mbezi haitamaniki, barabara za ndani ni mbovu kupita maelezo, yaani utafikiri uko pale urafiki wanapouza kwenye soko la ndizi.

Kwa kwa jinsi Mbezi Beach inavyobeba watu watu wakubwa kweli wanashindwa hata kuweka lami mitaani, au hata kumwaga kokoto. Yaani wao na Mikocheni ni aibu nyakati hizi, au na huko wavamizi wa kwenye kwenye njia za maji wamejaa na sababu ni wadosi basi wanashindwa kuchukuliwa hatua?

View attachment 2800992
NSSF Mbezi Beach kwa hisani ya EATV
Nisalimieni sana CDF Mstaafu Gen. Mwamnyange na hizo Apartments zake ninazoziona kwa mbaaaaaaali.... hapa Pichani.
 
Back
Top Bottom