Vazi (Persian: وازی, also Romanized as Vāzī) is a village in Mazu Rural District, Alvar-e Garmsiri District, Andimeshk County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 25, in 4 families.
Mtaniwia radhi kwa ukubwa wake kutokana na hii mada.. Natambua wengi wenu mtakereka na maudhui yake na baadhi mtaudhika Sana..! Lakini kupitia mada hii naomba msijichukulie Kama walengwa bali kama wanafunzi wanaohitajika kujifunza kitu kizuri
1. Kutambua dhima ya social media
Tambueni ya...
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu baadhi ya wanawake kuvaa mavazi yanayoonekana kama nguo za ndani katika maeneo ya umma. Je, hali hii inaendana na kanuni na maadili ya mavazi katika jamii?
Tunaona katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kwenye vyombo vya usafiri, baadhi ya abiria na...
Anonymous
Thread
jukumu
kusimamia
taifa
vazivazi la taifa
wapi
yuko
yuko wapi
Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
Salaam wakuu.
Binafsi Sina lengo la kumharibia siku mtu ,au kumkejeli mtu lakini wakuu suruali kwa wanawake wembamba ni kama wanajidhalilisha
Naelewa kwamba wanataka wapendeze, waende na wakati ,na waonekane wa kisasa lakini Kuna mambo mengine hapana kwa kweli
Samahan kama Kuna yeyote...
Habari Tanzania !
Nimeweka mfano wa picha kwa msaada wa tehama.
Mnaonaje tukiwa tunavaa hivi wanaume kwa wanawake kama vazi rasmi la utambulisho kitaifa.
Asante.
Cap. Kapero.
Ni moja ya mavazi yanayopendwa sana ulimwenguni tena na watu wema.
Lakini kwa nchi yetu, vazi hili binafsi nimekuwa nikilinasabisha na uhalifu.
Mara kwa mara matukio haramu ya utekaji ukitizama wale watekaji pale inapotokea wamerekodiwa hakosekani mmoja (au wawili au zaidi)...
Salamu wana JF
Hii mada ya vazi la taifa ni miongoni mwa mada zinazoonesha namna gani hatupendi kukubaliana na ukweli wa mambo sisi kama watanzania.
Ukweli ni kwamba kama taifa lenye zaidi ya makabila 120 haiwezekani kuea na vazi moja la taifa tena tukabaki kuzingatia tamaduni zetu.
Ni vipi...
Hii video nmetumiwa,sijui ni wapi..
Ila hii style ya vibaka kuvaa baibui usiku ukijua na wanawake kumbe vibaka
Naona hapo mzee kabananishwa katulia
Ova
Amani iwe kwenu ,
Upweke unaweza kuwa wa thamani kuliko kuwa na watu wasio wa kweli maishani mwako.
Ukiondoa vicheko vya kinafiki,salamu za masharti,na urafiki wa muda mfupi.upweke sio mbaya kama unavyoogopwa.
Ni bora upweke kuliko furaha ya kujipendekeza
Mtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam.
Ibada ya kwanza...
Wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa Rais Donald Trump tarehe 20 Januari 2025, tukio lililomhusisha Mark Zuckerberg, Mkurugenzi Mtendaji wa Meta (zamani Facebook), lilivutia sana.
Video moja ilimuonyesha Zuckerberg akitazama kifua cha Lauren Sánchez, mchumba wa mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika ikiwa upo mbali na Tv yako basi nenda hata migawahani au vibanda umiza au hata kwa jirani mwenye Tv ushuhudie kinachoendelea Dodoma. kwa sababu ikiwa upo mbali na Tv au matangazo ya moja kwa moja kutoka Dodoma . Basi utakuwa unakosa Mambo mengi sana hapa...
Hili vazi la kijora ambalo huwa linazungumziwa sana na waswahili na watu wa pwani ni vazi la aina gani?
Kijora kina utofauti gani na vazi la dera?
Kijora kinavaliwa na watu wa aina gani zaidi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.