kazi serikalini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Rich

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Connection ya Kazi Serikalini

    Wakuu habarini za wakati huu, mimi ni ME, Elimu Form Six niliachaga Chuo muda mrefu, sina leseni ya udereva nina NIDA. Nahitaji mwenye connection ya kazi serikalini anisaidie donge nono lipo kwa atakae nisaidia. Lengo langu ni kuingia kwenye mfumo wa serikalini wa ajira hivyo kazi yeyote ile...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Katika kozi hatari za kusomea Tanzania ni za Computer. Kwa jinsi Ai inavozidi kukua ukikosa kazi Serikalini itakuwa ni ngumu sana kutoboa.

    Tatizo ni kasi ambayo AI inabadilisha kazi zenyewe. Hasa ukizingatia kwamba vyuo vingi bado vinafundisha Computer kwa mfumo wa zamani: theory nyingi, practical chache, na walimu ambao walianza kujifunza computer vyuoni muda mwingi ubaoni na kwenye makaratasi. Computer ya 2026 haiwezi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ni mafao gani anayostahiki kupata mtu ambaye amefukuzwa kazi serikalini

    Habari wakuu! Natumai mko poa kabisa Moja kwa moja kwenye mada hapo juu Ni mafao gani anayostahili kupata mtu qmbaye kafukuzwa kazi serikalini kwa kosa la kinidhamu? Naomba kuwasilisha wakuu
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Kama unataka kuwa tajiri usiombe kazi Serikalini

    Imeelezwa kuwa wakati Tanzania ikiwa na nguvu kazi kubwa ya watu milioni 33, sekta ya umma imeajiri chini ya watu milioni moja, jambo linalothibitisha kuwa serikali haiwezi kuwa injini kuu ya uzalishaji wa ajira. Hayo yamefafanuliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Prof. Riziki Shemdoe anatumia uzoefu wake vizuri katika utendaji kazi Serikalini, nampongeza

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesifu utendaji kazi wa Mbunge wa Lushoto ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe kwa namna anavyotumia uzoefu wake wa utendaji kazi Serikalini katika kuwahudumia na kuwaletea maendeleo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Customer care inayotolewa na mfumo wa maombi ya kazi serikalini (Ajira portal) ni tatizo kubwa sana

    Habari. Ni mwezi sasa mfumo wa ajira portal unasumbua kwamba kwa tunaohitaji kucreate account sms ya kuactivate account hairudshwi kabsa, unajaribu kupiga simu kwa namba walizotuwekea pale lakini simu haijawah kupokelewa mwezi umepita nimetuma email mara kibao kwa changamoto hiyo haijawahi...
  7. Bueno

    JamiiForums Tanzania Kuna Kipindi kinakuja huko Mbele Serikali itasaka Watu wa Kufanya Kazi Serikalini Kwa TOCHI?

    Najaribu kujiuliza tu wakuu. Mimi hua napenda kuongea na watu walionizidi umri sana, hususani wale waliosoma enzi hizo kabla ya Uhuru haujapatikana 1940-1959 hawa ni wengi kwenye play list yangu, wakaja wakasoma enzi za Nyerere baada ya Uhuru 1962 kuendelea, nk. Sasa katika maongezi na dodoso...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Private mshahara milioni 12 anaenda kugombania kazi serikalini mshahara milioni 2, hiki ni nini kama sio ujinga ?

    Hata kama ni uoga huku kumepitiliza, sio uoga tena ni kukosa akili ya maisha. Mtu analipwa salary kwa dola, zikibadilishwa kuwa madafu zinakaribia milioni 12 per month kabla ya makato lakini hata kama anabakiwa na milioni 10 (milioni 120 kwa mwaka ) bado ni pesa ndefu, mambo yake safi kabisa...
  9. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe?

    Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe? Na manufaa utakayo yapata ni yapi?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuomba tena kazi Serikalini ikiwa nina kazi tayari Serikalini?

    Habari wana jamvi kuna mdau anauliza yeye ni mfanyakazi katika wizara moja hapa nchini na ndio kwanza ana miezi nane kazini sasa ameona tangazo la Ajira sekretarieti ya Ajira katika taasisi moja ya elimu ya juu anauliza vipi anaweza kuomba? Au mpaka asubiri ipite miaka mitatu Karibuni ma HRO...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023 ====== Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, idadi ya watumishi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ukipata kazi serikalini na ukaamua kutokwenda

    Wapendwa habari zenu Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wanajamvi hivi ikitokea umepata kazi lakini kwasababu fulani ukahitaji kutokwenda kazini. Je ni hatua gani unatakiwa kuzifuata ili uwe salama hata baadae utakapoomba kazi serikali uwe eligible kupata kazi?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini, ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini?

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini ,ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini! Majibu yako, yatazingatiwa
  14. covid 19

    JamiiForums Tanzania Kufanya kazi Serikalini ni shavu sana

    Nimetafakari sana baada ya report ya CAG jana kwakeli hawa wenzetu wa serikali sijui ni bahati au ni nn Imagine watu wanaongeza masifuri tu ila wala hawashughulikiwi wanasemwa tu. Yaani unaambiwa tu boss ulizochukua hazikutosha?? Aya tupishe.. Jaman mnatuvunja moyo sana walipa kodi sana...
  15. T

    JamiiForums Tanzania KOZI YA PUBLIC RELATION AND MARKETING, JE UNAWEZA KUPATA KAZI SERIKALINI?

    wadau nauliza aliyewahi kupata kaz serikalin kwa koz hiyo je yupo? na je ni ofisi gan au wizara gan? mtu anawez kupata kaz kupitia kozi hiyo. asante
  16. mweatu

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata kazi Serikalini kwa kutuma maombi pasipo kazi kutangazwa?

    Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali. Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa. Najaribu kufikiria kutuma...
  17. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Natengeneza 30,000/= kwa Siku, niache kazi Serikalini?

    Wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Mimi ni mtumishi wa serikali kwa miaka takribani 7 hivi na mwenye mshahara (take home) usiozidi 700,000/= kwa mwezi. Kwa hili namshukuru MUNGU. Kuna biashara ninafanya ya vyakula vya binadamu kwa miezi takribani 8 sasa, ninaingiza faida ya kati ya Sh...
  18. R

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nimepata kazi Serikalini dereva ila mshahara mdogo kuliko wa Mwendokasi ninakofanya kazi sasa. Nimechanganyikiwa!

    Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa! Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month . Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha...
Back
Top Bottom