Ukipata kazi serikalini na ukaamua kutokwenda

Mhhh sio mpaka ukipata cheque number ndio inakuwa hivi
Ninachokiwaza kuwa baada tu ya kuona umepata placement lakini ukaamua kuandika barua kuwa hutoweza kwenda kufanya kazi kabla hata ya kupata hiyo cheque number. Maana cheque number mpk ufate kamrorongo flani ndio uipata
 
Wapendwa habari zenu

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wanajamvi hivi ikitokea umepata kazi lakini kwasababu fulani ukahitaji kutokwenda kazini. Je ni hatua gani unatakiwa kuzifuata ili uwe salama hata baadae utakapoomba kazi serikali uwe eligible kupata kazi?
Nmeshuhudia watu wanaacha KAZI taasisi A, na kuuyanga mtaani na wanarudi kuomba KAZI serikalini na wanapata Tena.
Kwa hili la kupuuzia wito sijajua Inakuaje.
 
Wapendwa habari zenu

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wanajamvi hivi ikitokea umepata kazi lakini kwasababu fulani ukahitaji kutokwenda kazini. Je ni hatua gani unatakiwa kuzifuata ili uwe salama hata baadae utakapoomba kazi serikali uwe eligible kupata kazi?
Usiende kuchukua barua PSRS, nafasi yako itajazwa na mtu mwingine baada ya muda flani.

Ila ukishachukua barua na kwenda kuripoti hapo kunakua na ugumu kidogo.
 
Hii ni isindingo sio kwa jinsi kitaa kilivyo kaza

Back
Top Bottom