ajira tamisemi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna Bachelor degree courses zinatolewa UDOM lakini hazipo kwenye soko la ajira

    Kuna kozi za education zinatutesa sana. Kozi hizi nyingi zinatolewa UDOM. Mfano bachelor of education in psychology, education in administration and management, education in policy planning, adult education and community development. Zote hizi na nyingine zinatolewa kwenye vyuo vikuu lakini...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali kupitia TAMISEMI na Utumishi kutoa kibali kwa watumishi wanaoomba uhamisho hasa wa kubadilishana

    Serikali ingejua bomu linalotengenezwa wangekuwa wanatoa vibali vya uhamisho immediately pale tu maombi ya huu uhamisho wa kubadilishana unapofika katika ngazi Yao. Maana mwalimu au mtumishi aliyeomba uhamisho Toka January na maombi yakasoma tamisemi hawezi kufanya kazi yoyote ikawa productive...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mawaziri wa 3 wanatarajiwa kukutana na Umoja wa Walimu Wasio na ajira Tanzania (NETO) Machi 10

    Wakuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (Mb), amesema Mawaziri Watatu, akiwemo yeye, Waziri wa TAMISEMI, na Waziri wa Elimu wanatarajia kukutana na Umoja wa Walimu Wasio na ajira Tanzania (NETO) Machi 10, mwaka huu. Simbachawene...
  4. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Ajira utumishi wa umma kada ya ualimu PDF iachie walimu waliofuzu wote

    Utumishi (PSRS) wamemaliza usaili KADA ya UALIMU Jana jumatatu Tarehe 24. Ni vyema wakaachia majina ya waliopata AJIRA (PLACEMENT) ya masomo yote Kwa mkupuo kuliko kuwaweka Vijana waendelee Kila mara kushinda mtandaoni kuangalia PDF haya yaliwezekana TAMISEMI Kwanini wao wasifanye hivyo. Pia...
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI zilikuwa hazitolewi kwa haki, bora sasa hivi zimehamishiwa Utumishi

    ....
  6. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo na tuitarajiayo

    Tanzania Tuitakayo: Ajira na Tenda kwa Miaka 25 Ijayo Utangulizi Katika kijiji kidogo cha Mkwajuni, kulikuwa na kijana mwenye ndoto kubwa, Juma. Alikuwa na elimu ya chuo kikuu lakini alipambana kupata ajira katika soko la ajira ambalo lilikuwa na ushindani mkubwa. Hali hii ilimfanya Juma...
  7. Muhsin Snr

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mbona kimya mwezi wa sita huu mwaka huu hawaajiri Walimu na Afya?

    Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti) Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi swali la kujiuliza a) Tuna sufficient za hao watu katika hizo sehemu nyeti kabisa katika maendeleo ya...
  8. T

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatangaza lini ajira?

    Kwa mwenye fununu jamani maana miezi inakata tu.
  9. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI

    Hakikisha una upload vyeti ambavyo ni certified ( Vyeti vyenye muhuri wa Mwanasheria ) Cover Letter ( Barua yako ya maombi ) inakuwa na sahini yako chini/mwishoni mwa barua.
  10. Sauti ya amani

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutuma maombi ya ajira TAMISEMI kwa waombaji wapya na wale waliowahi kuomba

    Wakuu napenda kuomba msaaada namna ya kutuma haya maombi ya ajira mpya ,je anwani za barua ni zipi?na kwa walioomba awali wanatumia mfumo upi asnth
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023 ====== Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, idadi ya watumishi...
Back
Top Bottom