Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekubali ombi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila) la kutoa elimu kwa wafanyakazi wake 3,600 juu ya masuala ya kifedha, fursa mbalimbali zilizopo na vihatarishi vyake ili waweze kuchukua hatua stahiki kabla ya kukopa au kuwekeza.
Ahadi hiyo...
Vitabu zifuatavyo vinapatikana na vitaweza kukusaidia kwa kiasi kikubwa kupata elimu ya fedha na uwekezaji.
1. Increase your Finanncial IQ by Robert Kiyosaki
2. School of money by Olumide O Emmanuel
3. Cash flow Quandrant by Robert Kiyosaki
4. Guide to Investing by Robert Kiyosaki
5. Rich Dad...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha
Toleo la Kwanza, Agosti 2021
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Nyenzo ya Kufundishia
Elimu ya Fedha
Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha
Wizara ya Fedha na Mipango...
Hizi ndizo sababu kuu tatu za kuweka akiba
Dharura. Tunaweka akiba kwa sababu tunajua kuna dharura itatokea na utahitajika kuwa na akiba, dharura sio kwamba hazijulikani hapana, usichojua ni itakuja lini na kwa kiwango gani. Kuna watu wakipata dharura na wana akiba awaitumii eti kwa sababu ni...
Bajeti ni kuziambia pesa zako pa kwenda na cha kufanya badala ya kukaa na kushangaa zilienda wapi na kufanya nini.
Hakikisha una bajeti ya pesa zako, Itakusaidia kujua kiasi gani kinaingia kutoka wapi na kiasi gani kinatoka kwenda wapi.
Usianzishe jambo bila kujua gharama na faida zake...
Asilimia kubwa ya vijana waliokuwa katika mifumo rasmi ya Elimu hutumia takribani muda wa zaidi ya Miaka 17 kutumikia katika ngazi tofauti tofauti za elimu zao lakini ndio kundi kubwa la watu ambao wenye elimu ya vyeti lakini ubunifu na maarifa madogo katika kukabiliana na changamoto mbalimbali...
UHURU WA KIFEDHA (FINANCIAL FREEDOM)
Uhuru wa kifedha ni ule uhuru wa kufanya mambo kama upendavyo au kutekeleza mahitaji yako yote kama upendavyo.
Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa kufanya kila jambo ambalo ungependelea kufanya bila kukwama...
Makala ya tatu
Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea.
Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako.
Kuna namna mbalimbali za kupata mtaji zikiwepo;-
• Akiba
• Mtaji kutoka kwa marafiki na wazazi
• Mikopo kutoka...
CASH IS NOT THE KING
Najua wengi ni ngumu sana kuamini hiki ninachoenda kukiandika lakini sikuzote ukweli haufichiki na hata ambao wataamini naamini watashangaa sana, ukweli ni kuwa dunia ipo speed sana na kama bado hujui kinachoendelea basi nitaenda kuweka wazi kila kitu bila uwoga kuhusu...
Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea. Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako.
Kuna namna mbalimbali za kupata mtaji zikiwepo;-
• Akiba
• Mtaji kutoka kwa marafiki na wazazi
• Mikopo kutoka taasisi za...
Kulinda uchumi wako si mpaka uwe na degree ya uchumi kutoka Stanford University hapana. Kinachotakiwa ni nidhamu ya fedha na kujifunza zaidi kuhusu fedha.
Elimu ya fedha ni elimu muhimu sana kwa ustawi wa maisha yetu ya kila siku. Usichoke kujifunza kuhusu fedha ukiwa bado unahitaji fedha.
Moja ya matunda yaliyoonekana ni ya kiswahili na tumekuwa nayo na kuishi nayo katika jamii yetu ni matunda haya mawili kutoka katika miti tajwa hapo juu.
Japo inatokea katika familia moja ya Annonacea ila kwa kiiingereza hili kundi la miti jamii hii huitwa Custard Apple trees.
Tuchambue pamoja...
UTAMBULISHO KUHUSU UWEKEZAJI
Uwekezaji ni operesheni ambayo baada ya uchambuzi wa kina inaahidi kulinda mtaji pamoja kuleta marejesho (ya kifedha) kutoka kwenye mtaji huo.
Maneno ya kuzingatia hapa ni “uchambuzi wa kina” “kulinda mtaji” na “marejesho”.
Bila vitu hivi vitatu basi operesheni...
Habari wana-Jamii Forums Naitwa Fatma.
Nipo hapa kwa ajili ya kujifunza na kujadili mambo mbali mbali yanahusu fedha, uwekezaji na uchumi. Mbali na hilo napendelea pia mijadala inayohusu maswala ya kijinsia na pia ni mpenzi wa kusoma vitabu. Napendelea mijadala inayolenga kufunzana.
Asanteni...
Rafiki yangu mpendwa,
Tangu tunazaliwa mpaka tunakuwa watu wazima, kuna vitu vingi sana ambavyo tunafundishwa kwenye familia, kwenye jamii, shuleni na hata kwenye kazi au biashara.
Tunafundishwa jinsi ya kwenda vizuri na watu wengine, jinsi ya kufanya kazi au biashara zetu na umuhimu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.