biashara na uchumi

  1. kigogo1ivi

    iraisers ni kina nani? Sio matapeli kweli?

    Kuna mdau aliniambia kuhusu hawa watu lkn sikutaka kumuamini mapema nikaona nilete huku kwa wadau nikiamini nitapata mrejesho mzuri kuhusu hawa watu. Kwa kifupi aliniambia ili uwe mwanachama wa iraisers ni lazima utoe kiingilio Tsh 40000 baada ya hapo kila unapoweka pesa utalipwa 30% ya dau...
  2. Danielkiparaela

    Ela Lishe karibu Unga wa lishe uliobora kabisa una Tumiwa na watu wa jinsia zote na umri wote kwa mahitaj wasiliana piga 0712483713 au 0785879937

    ELA Lishe ni unga wa lishe wenye Afya kwa yeyote Faida yake 1)umpatia mtu Nguvu Kwa wale wanaofanya kazi ngumu au wasiojisikia kula hii *Chakula tosha 2) Uimarisha Mfumo wa Akili na Uti wa Mgongo wa mtu mzima na mtoto 3) Ni kifungua kinywa kwa Hasubuhi pia 4)Kulikuwa na malalamiko kwa wazazi...
Top