kuondoka kwenye umasikini

  1. kwisha

    Je, ni biashara ipi inalipa zaidi?

    Kuna Restaurant Saloon ya kike na ya kiume Duka la nguo Duka la nafaka Bar Duka la mangi Katika biashara hizo ni ipi inalipa zaidi?
  2. Makirita Amani

    Kama unataka kuondoka kwenye umasikini, waepuke masikini kama ukoma

    Rafiki yangu mpendwa, Hivi unajua ya kwamba umasikini huwa unaambukizwa kama magonjwa yanayoambukizwa? Ndiyo, hiyo ni kweli kabisa, pale unapokaa na masikini, wanakusababisha uendelee kubaki kwenye umasikini. Huenda kwa kusoma sentensi hizo chache umejisikia vibaya, umenichukulia mbaguzi na...
  3. Ramsy Dalai Lama

    Tofauti ya kuingiza pesa kati ya tajiri na masikini

    Unajua nini!, bado pesa ipo nyingi katika nchi yetu hata kama imekuwa ngumu kiasi gani lakin ukweli ipo. Pesa ipo kila sehemu, Serikali ina pesa, benki zina pesa, makampuni yana pesa,migahawa na mpaka mama ntilie wana pesa hata kama ni ndogo, wauza biashara ndogo ndogo mpaka wenye biashara kubwa...
  4. LellozWho

    Mungu alishamaliza kazi yake

    Sina maana yoyote juu ya kupotosha imani ya mtu. Umegundua mwisho wa kutafakari bila majibu ni Mungu anafuata? Tumwachie Mungu Mungu atatenda Nk.. Ulistukaga anatajwa wakati unakwepa jukumu lako!? Mfano: Huna kazi. Wanatuambia tumwombe atupatie ajira. Lakini ukweli ni mmoja tu. “MUNGU...
  5. Makirita Amani

    Mambo Haya Kumi (10) Usiyojua Kuhusu Fedha Ndiyo Yanakufanya Uendelee Kuwa Masikini.

    Rafiki yangu mpendwa, Tangu tunazaliwa mpaka tunakuwa watu wazima, kuna vitu vingi sana ambavyo tunafundishwa kwenye familia, kwenye jamii, shuleni na hata kwenye kazi au biashara. Tunafundishwa jinsi ya kwenda vizuri na watu wengine, jinsi ya kufanya kazi au biashara zetu na umuhimu wa...
Back
Top Bottom