kilimo cha matunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PART ASIFIWE MALILA

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mbolea ya asili katika kilimo cha matunda kama papai, migomba, limao na ndimu

    Leoo tugusie kidogo kuhusu mbolea. Wakulima wengi hasa wale tuliozoea matumizi ya mbolea huwa tunapenda sana kutumia mbolea kama SA, DAP, UREA nk Lakini umeshawahi kuwaza kutumia mbolea ya asili. Leo naomba nikupe pendekezo hili. Unapoanza kufanya hicho kilimo chako cha matunda unaweza kutumia...
  2. Massenge1

    JamiiForums Tanzania Jipatie miche ya matunda na mbogamboga - gharama nafuu, ubora wa juu

    Wakulima na wapenda bustani, kama ulikuwa unasubiri nafasi ya kuanza kilimo kwa gharama ndogo na faida ya haraka, hii ndiyo fursa yako. Ninauza miche bora, inayokua haraka, yenye afya, na inayofaa kwa maeneo mengi ya Tanzania. 🍊 Miche ya Matunda (Kuanzia TSh 2,500 tu!) Aina zinazopatikana...
  3. Asheryelly

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Viriba vinauzwa

    Kwa mahitaji ya polythene tube(Viriba) vya size kuanzia Inch 2.5 hadi Inch 15 vya Gauge(G) zote zinazohitajika kwa uotesheaji wa miti ya matunda, mbao, maua N.k kwa Tsh 4000/= tu kwa KILO 1 Karibu sana. Piga, 0787009807.
  4. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

    Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake. Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
  5. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matunda - passion fruits

    Kwa anayejua abc kuhusu kilimo cha mtunda damu - passion fruits, naomba tuweze kupanuana maarifa kwa yafuatayo:- 1. Ardhi inayofaa kilimo hiki au hata green house 2. Upatikanaji wa mbegu bora 3. Soko la matunda hayo 4. Miche / shamba litadumu kwa muda gani ... Nashukuru kwa mchango wakujenga...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Philipo Nyandindi (O. Ten) ajiingiza katika Kilimo cha Matunda

    Halo JF Celebrities. Mnamkumbuka O Ten na nyimbo kama vile Akitakacho binti, Embu nicheki nk? Jamaa hataki masikhara, saivi amewekeza katika kilimo cha mananasi, tikiti na mbogamboga huku akiwa ameajiri makumi ya vijana mkoani Morogoro. O. Ten au Philipp Nyandindi hakusikika kitambo kwenye...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ifahamu miti ya mastafeli (mastakafeli) na mitopetope

    Moja ya matunda yaliyoonekana ni ya kiswahili na tumekuwa nayo na kuishi nayo katika jamii yetu ni matunda haya mawili kutoka katika miti tajwa hapo juu. Japo inatokea katika familia moja ya Annonacea ila kwa kiiingereza hili kundi la miti jamii hii huitwa Custard Apple trees. Tuchambue pamoja...
Back
Top Bottom