Elimu ya fedha ambayo BoT wanapaswa kuifahamu

frado

Member
Nov 26, 2020
8
23
CASH IS NOT THE KING
Najua wengi ni ngumu sana kuamini hiki ninachoenda kukiandika lakini sikuzote ukweli haufichiki na hata ambao wataamini naamini watashangaa sana, ukweli ni kuwa dunia ipo speed sana na kama bado hujui kinachoendelea basi nitaenda kuweka wazi kila kitu bila uwoga kuhusu ulimwengu wa fedha

NAITWA Frank bwenge phillibert THE FUTURIST

Karibuni sana

ONYO ; MIMI SIO MSHAURI WA KIUCHUMI NA HIVYO CHOCHOTE UTAKACHOKISOMA KICHUKUE KATIKA TAFSIRI ZAKO

Kama unafatilia maandiko yangu kupitia instagram na twitter @fradofx basi utakuwa unakumbuka kuhusu kile nilichokiita DIGITALIZATION OF US DOLLAR yaani udigitali wa dola ya marekani miezi kadhaa nyuma ,

DIGITALIZATION OF US DOLLAR ni kitendo cha fiat dollar yaani dollar iliyopo katika makaratasi ambayo inatumika Zaidi kwa sasa kubadilishwa na kuwa dola ambayo haiwezi kushikwa kwa mikono na Hii tunaita digital dollar

Kupitia utafiti mbalimbali niliofanya kufikia mwaka 2040 hakutakuwa na fiat dollar/cash tena na kitakachokuwa kinatumika kwa wamarekani wengi katika kununua na huduma mbalimbali ni digital dollar bila kusahahu btc (BTC ni topic ya siku nyingine na haiwezi ikaisha kwa siku moja ,HII NI NDEFU SANA)

Pengine unaweza ukadhani kuwa haya yataisha Markani pekee hapana , haya ninayoyasema ni mambo ambayo lazima yatokee duniani kote hata kama ni kwa kuchelewa TWENDE POLEPOLE

KWANINI DIGITAL DOLLAR

Kunako tarehe 30 mwezi wa 6 ,2020 kupitia SENATE BANKING COMMITTEE ulifanyika mkutano ukiwa na lengo la kuzungumza jinsi gani wanaweza kufanya DIGITALIZATION YA US DOLLAR ,Katika kikao hicho waliweza kuweka wazi mambo makubwa ambayo ni sababu za kuanzishwa kwa digital dollar kama ifuatavyo

SABABU YA KWANZA
Uwepo wa corona virus ambapo wamerakani Zaidi ya maelfu tayari wamefariki kutoka na jinga hili linaloenezwa kwa kugusana lakini pia hata kubadilishana vitu ambavyo tayari vina virusi hao na ikionekana wazi kuwa fiat dollar /cash inaweza kuwa chanzo cha watu wengi kuambukizwa janga hilo

Ili kuweza kuondoa maambukizi kupitia fiat dollar yaani dola ya marekani iliyopo katika mfumo wa makaratasi serikali ya marekani inaamini kuwa digital dollar ni suluhisho kwani mtu anaweza kufanya manunuzi kupitia mtandao bila kutoa cash ili kupata huduma anayotaka

SABABU YA PILI
Ushindani mkubwa ulio[po kati ya china na marekani unachochea speed kubwa katika ujio wa digital dollar ambapo marekani haiwezei kukubali kuruhusu china kutangaza kuanza rasmi wa matumizi ya digital yuan kabla ya uzinduzi wa digital dollar

Tayari china imeshaanza majaribio ya pesa yake ya kidigitali inayojulikana kama DIGITAL YUAN katika miji mbalimbali ikiwemo Shenzhen,Chengdu ,Suzhou na Xiongan

Katika miji hiyo watu wanatumia application za simu kufanya manununuzi na sio cash ili kuzuia maambukizi ya COVID 19,application za simu kama WE CHAT PAY na ALI PAY iliyo chini ya kampuni ya billionare namba moja nchini humo JACK MA

Baada ya kupakua application hizo mtu anaweza kufanya usajiri wake na kisha baada ya hapo anaweza kuanza kufanya manunuzi yake kwa kuscan QR codes

China tayari ipo mbele ya nchi zote duniani katika kufanya digitalization ya FIAT CURRENCY ikisukumwa Zaidi na uwepo wa mashindano ya olimpiocs 2022 ambapo imedhamilia kutumika kwa DIGITAL YUAN kama pesa itakayotumika katika manunuzi mbalimbali katika mashindano hayo

China ilianza majaribio ya DIGITAL yuan tangu mwaka 2014 kupitia mfumo unaoitwa DIGITAL CURRENCY AND ELECTRONIC PAYMENT (DCEP) na kwasasa umeanza kutumika katika kulipia usafiri ,mishahara ya watumishi wa umma katika miji tajwa hapo juu

SABABU YA TATU
Kushindwa kuzuia kwa ujio wa crytos hasa bitcoin unafanya serikali nyingi duniani kuingiwa na uoga kwani watu wanaweza kuwa na FULL CONTROL na miamala yao bila serikali kuweka mikono yao haswa kwenye kodi na kwingine

Hivyo basi ujio wa digital dollar na yuan ni moja ya juhudi zinazowekwa ili kuleta ushindani dhidi ya cryptos kwani ni wazi kuwa kufikia mwaka 2040 US DOLLAR (FIAT) haitakuwa na nguvu kutokana na ukuaji mkubwa wa blockchain technology duniani na hivyo ujio wa digital dollar ni wazi kuwa serikali ya maekani inalifahamu hili

KUNA TOFAUTI GANI KATI YA DIGITAL DOLLAR NA CRYPTOS(DIGITAL CURRENCY)
Tunaweza kuziita zote kuwa ni fedha za kidigitali ,lakini ni pesa tofauti kabisa ,nadhami neon DIGITAL CURRENCY lilitumika kumaanisha cryptos kwasababu mwaka 2009 ilipoanzishwa bitcoin watu wengi hawakufikiria kama serikali kama ya marekani zitakuja na DIGITAL CURRENCY

Jina linalofaa kwa digital dollar ni digital fiat na sio crypto kwasababu zifuatazo

SABABU YA KWANZA
Crypto zote ni decentralized ,hii ikiwa na maana kuwa hakuna serikali ambayo inaweza kuingilia kati miamala inayofanyika wakati digital dollar/fiat ni CENTRALISED na bivyo serikali inaweza kuzuia muamala ,kukata kodi na kufanya chochote inachotaka

SABABU YA PILI
Cryptos zote zimetengenezwa kupitia teknolojia kubwa sana ambayo inaitwa BLOCKCHAIN TECHNOLOGY wakati digital dollar na zingine ni nje ya technolojia hiyo , pengine unaweza ukajiuliza sasa mtu anazipata vipi hizo pesa kama digital dollar ?

FED au Federal reserve yenye majukumu ya kusimamia fedha nchini marekani ilisema kuwa wananchi watatakiwa kudownload application katika simu zao na kufungua account itakayokuwa inajulikana kama “FED ACCOUNT” ambayo itatumika kama sehemu ya kufanya huduma zako lakini pia kutoa stimulus kwa kila mwananchi inapohitajika

Miamala yote itasimamiwa na FED ambayo ni serikali na hivyo wataweza kusimamia kila kitu ili kuzuia uharifu ,rushwa na mambo mengine

JE DIGITAL DOLLAR ITAKUWA CHANZO CHA KUPOTEA KWA BITCOIN
Ukiniuliza mimi , hii itakuwa BIG NO kwasababu naamini kuna uwezekano mkubwa uwepo wa digital dollar ukafanya watu wengi wageukie cryptos ambazo mimi naziita real digital currency kutokana na usalama wake kwa mtumiaji kwani hakuna mtu ambaye anapenda kuona akifatiliwa katika kila kitu anachokifanya

Kwasababu bitcoin iko decentralized basi akuna yoyote ambaye anaweza kuweka mkono katikati unapokuwa unafanya miamala katika simu yako

Ujio wa digital dollar na digital yuan ni kiashilia kuwa dunia inaelekea katika ulimwengu wa uchumi wa kidigitali,japo kwa Afrika inaweza kuchelewa lakini ukweli ni kuwa ni swala la muda tu kabla nchi zingine hazijaanza kuingia katika mfumo huu

CHANGAMOTO

Katika utumiaji wa digital dollar na digital fiat zingine naamini kuwa UDUKUAJI wa mifumo hii itakuwa ni changamoto kubwa sana dunuani kwani sikuzote teknolojia inakuwa na wadukuaji wanatafuta njia tofauti tofati kuweza kudukua mifumo mbalimbali

Uhakika wangu ni kuiwa kufikia 2021 Marekani itakuwa tayari ina DIGIOTAL DOLLA kabla china hawajazindua DIGITAL YUAN ambayo tayari ipo katika majaribio kwasasa katika miji mbalimbali nchini humo

Kama unadhani naongea vitu ambavyo havikuingii akilini basi ikipita 2021 nitafute tuzungumze kwenyw 0672134105

TUTARAJIE NINI KITATOKEA KWA MABENKI

Kwa mwaka 2020 nchi kma Australia ambayo ni moja ya nchi zenye Mabank mengi sana duniani tayari banks zimeshaanza kufunmgwa kutoka na janga la COVID 19 nikiamini kuwa mpaka janaga hilo linaisha nchini huko watu wengi watakuwa na uzoefu wa kufanya miamala katika mitandao na sio kwenda katika Mabank

Upande wa pili,ujio wa digital dollar nchini Marekani unaenda kubadili mfumo mzima wa mabnk ambapo FEDERAL RESERVE itasimamia yale yote yanayofanywa na mabenki kwa muda mrefu ,tukianza tu na majina ya account ambayo yatatitwa FED ACCOUNTS ambapo FED ndio watakuwa wasimamizi wakuu wa miamala yote ya wamarekani upande wa digital dollar

Sina shaka benki nyingi nchini humo zitaporomoka kiuchumi kwa kukosa mapato yanatokana na huduma kama zifuatazo

  • USAJIRI WA KADI ZA BANK ; hii ni moja ya sehemu ambazo mabenk huingiza pesa pia hasa pale unapoenda kufungua akaunti mpya na kutozwa kiasi hicho kutegemea na aina ya aacount lakini pia benki husika

  • Naamini kuwa baada ya mfumo huu kujulikana kwa watumiaji wengi ,ni watu wachache sana ambao watafikiria kwenda benki kufungua account hizi za sasa na kwa utaratibu wa FED hautahitajika kufamnya hivuo kwani kila kitu kitafanyika katika simu yako

  • Hii inaashiria wazi kuwa itafika wakati ambapo hakuna yoyote ambaye ataenda benki kufungua account nchini MAREKANI
  • Unaweza usiniamini mimi lakini ukipata muda fatilia kauli za mwenyekiti wa FED bwana JEROME POWELL na utaamini hiki ninachokisema

  • MAKATO KATIKA ATM;Hili ni tatizo nyingine linalofanya niamini kabisa benki nyingi zinaenda kufirisika na zingine zikiwa tayari zimeshaanza kufirisika huko nchini AUSTRALIA na kwingine

  • Kupungua kwa watumiaji wa kadi za benki moja kwa moja inaashiria kushuka kwa watumiaji wa ATM ,na hivyo kushuka kwa miamala inayofanyika katika mabenki kitu ambacho kitapelekea kushuka kwa mapato ya mabenki mengi hasa katika nchi ambazo zitaingia katika mfumo huu wa kidigitali wa fedha
  • Hakuna ambaye atakuwa tayari kwenda ATM kutoa cash yaani pesa ya makaratasi wakati pesa hiyo haitakuwa na matumizi ,watu hawataki cash wanaogopa kuambukizwa COVID 19 lakini wakati huohuo mfumo hautakuwa unaruhusu hata baada ya COVID 19 kupita
  • Hii ni wazi kuwa benki hazitaingiza kipato kupitia ATM kwani naamini kabisa kinachoenda kutokea ni mwisho wa ATM kuanzia marekani ,china na kwingine ambako wataingia katika mfumo wa fedha za kidigitali

VIPI KUHUSU WENYE MAMILIONI BENKI JE HAYATAKUWA NA THAMANI?
  • Kama utakuwa unanifatilia tangu mwanzo naamini hili ni swali ambalo lazima utakuwa unajiuliza kwasasa , ukweli ni kuwa dollar ya sasa navyoandikwa ujumbe huu inaenda kuwa BANNED yaani kutotumika na ambacho kitafanyika ni kwamba watu wote wenye pesa benki wataombwa kupakuwa app ambayo kwa nchini marekani bado haijapewa jina na baada ya hapo watawekewa pesa katika app hiyo kwenye account inayosimamiwa na FED yaani FED ACCOUNT kama digital dollar
  • Na huo utakuwa mwanzo wa usimamizi mkali wa miamala yote kuwa chini ya serikali ,tukianza na huko nchini Marekani ,mfumo ambao naamini utaanza kuenea katika nchi zingine nyingi duniani
  • NILICHOKUWA NAKIONA KABLA YA MAWAZO YA DIGITAL DOLLAR NA DIGITAL YUAN
  • Katika akili yangu nilikuwa naamini wazi kuwa cash au pesa za makaratasi zilikuwa zinaenda kupoteza thamani kutokana na mambo kama yafuatayo

UJIO MKUBWA WA CRYPTOCURRENCY
  • Cryptocurrency zikijulikana pia kama digital currency zilikuwa ninsababu tosha ya pesa za makaratasi kupoteza thamani katika ulimwengu huu
  • Na kama unasoma kidogo jinsi ya thamani ya pesa inavypanda au kushuka hii hututegemea na kununuliwa au kuuzwa kwa pesa hiyo ,ilikuwa ni wazi kabisa watu wengi mpaka sasa wananunua BITCOIN na kuuza dollar ya makaratasi kitu ambacho kinachochea kupanda kwa thamani ya bitcoin wakati huo dollar ya makaratasi ikishuka thamani
  • Hakuna mtu ambaye anaweza kukubali kukaa na pesa benki ,pesa ambayo inashuka thamani na hivyo ni bora kuiuza na kununua pesa ambayo inapanda tha,mani
  • Hivi umewahi kusikia watu wakisema “enzi zile million moja unajenga mbonge la jumba “ sasa hiyo ni maana tosha kwanini thamani ya pesa za makaratsi zilikuwa zinaenda kupoteza thamani siku baada ya siku
  • Kitu kingine kikubewa ambacho unaweza ukakiona katika mazingira ya kila siku ni mfumuko wa bei ambapo pesa kubwa inatumika kununua kitu kidogo tu ,sitazungumzia mfumo wa bei unaotokea maramoja moja lakini nitazungumzia kuusu mfumo mzima wa jinsi biashara inavyoenda
  • Kutoka na kitu kinaitwa UPDATE ni wazi kuwa pesa ya makaratasi itaendelea kushuka thamani siku baada ta siku ,usitegemee iphone 13 ikiwa na bei nchini ya iphone 12 na kama wewe ni mtaalamu wa games usitegemee PS6 kuwa na bei chini ya PS4
  • Huu ni mfumuko wa bei ambayo huwzi kuuona kama mfumuko wa bei lakini ukweli ni kuwa matajiri watadhiki kuwa matajiri na masikini kuwamatajiri
  • Tupo katika dunia ambayo watu wanataka kuonekana wana pesa na hivyi basi vitu vyenye gharama kubwa vitaendelea kutemgenezwa na pesa ya makaratasi kutokuwa na thamani tena
  • Serikali zimeshaliona hili na hivyo ujio wa DIGITAL DOLLAR na zingine ni njia mbadala ya kuweza kucontrol uchumi wao wanavyotaka wao kwani kila muamala hata wa kununua nyanya sokoni utaonekana katika mfumo wao na hivyo wataweza kucontrol uchumi kirahisi
  • Ni wazi serikali za duniani haziwezi kuizuia cryptocurrency na blockchain technology na njia pekee kuweza kupambana na hili ni kuja na pesa za kidigitali pia japo hazitumii blockchain technology
  • UFANYE NINI SASA ?
  • Kwa haswa nchi za Afrika ambazo naamini mfumo huu utachukua muda ,ushauri wangu ni kuacha SAVING na kuanza INVESTING kwani pesa zote za makaratasi zitaendelea kushuka thamani na million 10 utakayoweka benki haitakuwa sawa na million 10 ya miaka 10 ijayo
  • Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha unafanya INVESTMENT au uwekezaji kwemye biashara ambazo zinaendana na teknolojia yaani haziwezi kuathirika na mbadiliko ya miaka ijayo ambayo nimeelezea katika Makala mbalimbali pia
  • Moja ya biashara ambayo itazidi kukua ni biashara ya REAL ESTATE na ndio maana katika page zangu ni mara nyingi mno nazungumzia watu kununua ARDHI kwani naamini ardhi ni kitu ambacho hakitashuka thamani hata sikumoja kwasababu dunia ni FIXED huwez ipanua Zaidi ya kujenga kwenda juu
  • Na kutokana na binadamu kuongezeka kwa kasi duniani kutakiuwa na uhitaji wa ardhi kama sehemu ya makazi lakini pia kilimo kwa nchi za Afrika ili kuhimili ongezeko la binadamu na wanyama wengine

BUY LAND BUY LAND
  • Kiufupi vijana lazima wafahamu mambo kama haya ili kundaa kizazi ambacho kitaanza kushangaa na sio kuendana na duniani inakoelekea katika mambo ambayo ni mema ,huu ni wakati sahihi wa kuwekeza na sio kununua LIABILITIES vitu ambavyo vinakuchukulia pesa katika mfuko wako bila kurudisha pesa na faida juu
  • Kama una gari na kila siku inakula mafuta na haikuingizii pesa directly au indirectly Zaidi ya kukuingizia sifa za kijinga basi jitathimini sana ,Hiyo ni LIABILITY
  • Kama una iphone 12 haikuingizii pesa Zaidi ya kula vocha na huitumii kuingiza pesa directly au indirectly JITATHIMINI ,Hiyo ni LIABILITY

DUNIA IMEBADILIKA SAVING IMEPITWA NA WAKATI INVESTING NDIO SWALA LA MSINGI

Imeandikwa na FradoFx
instagram ; www.instagram.com/fradofx
 
Sisi wa kizazi cha BBC( Born Before Computer) tunaogopa sana teknolojia ila ahsante kwa bandiko lako nimejifunza mengi
 
Shida ni kwamba taasisi nyingi za umma wamejazana wazee wa miaka 50+ tena wengi hawana exposure ya teknolojia! Sasa ukiwaletea wazo kama hili hutaeleweka!
 
Back
Top Bottom