Watoto wa Ki-Ukrine Wakimpiga mtu mweusi kwa mateke na ngumi.

Download
720
 
Dah sio mchezo kabisaa haya mataifa ya ki soviet ni mabaguzi hasa sijui yana jiona ni wa class sana
 
Wavumilie tu,wengine tukiwaambia piganeni kiume nchini mwenu wanasema Bongo nyoso.
Maisha popote hata hapa unabaguliwa na mkoloni mweusi unakutana na askari anakupa kesi anakudunda hata kukuua au anakupa kesi ya ujambazi.
We ukiona nje ndipo utatokea nenda tu, ukiona hapa panafaa unakaa tu.
 
Ubaguzi wa rangi kwa Mwafrika upo kila mahali, kuna maeneo umekubuhu zaidi ya kwingineko...
 
You back people of you go there do make

You idiots when you go there do not make babies, it's easy use condoms! You can leave your blood behind like that, a very good definition of irresponsible Africans
Sasa unazaaje kule wakati ushaambiwa ni wabaguzi huyo demu wa ki Ukraine utampatia wapi
 
Maisha popote hata hapa unabaguliwa na mkoloni mweusi unakutana na askari anakupa kesi anakudunda hata kukuua au anakupa kesi ya ujambazi.
We ukiona nje ndipo utatokea nenda tu, ukiona hapa panafaa unakaa tu.
Kweli kabisa ukienda nje unabaguliwa ukiwa Tanzania muda wote uko roho juu hujui lini utabambikiziwa kesi ukasulubiwe katika kituo cha polisi shida ni yetu kila mahali Mungu atunusuru
 
Kweli kabisa ukienda nje unabaguliwa ukiwa Tanzania muda wote uko roho juu hujui lini utabambikiziwa kesi ukasulubiwe katika kituo cha polisi shida ni yetu kila mahali Mungu atunusuru
Kabisa mkuu tunabaguliwa na kubaguana.
 
Back
Top Bottom