da'vinci mshana jr amber rutty baby

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Usiku Mwema Marafiki Zangu

  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Nchi 7 'hatari' zaidi kwa usalama Afrika

    Maelezo ya picha, Makumi ya watu nchini Kenya wametekwa nyara na kuuawa tangu maandamano yalipozuka mwezi Juni 2024Maelezo kuhusu taarifa Afrika ya Kusini mwa Jangwa la Sahara imeshuhudia kushuka kwa viwango vya amani katika mwaka uliopita, ambapo wastani wa hali ya amani katika eneo hili...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kuna Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu

    Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya kupendelea kuchanganya chakula. Mtu mmoja anaweza kula...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania War No More Trouble Live At The Rainbow Theatre, London 1977

  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Unarudi Toka Kazini Unamkuta Mkeo anampiga Mama yako Mzazi.Je utafanya kitu gani kwa mkeo?

    Hatari kweli kisia huyu atakuwa ni mama yake mzazi au mama mkwe wake?
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuoga kila siku - hii ndiyo sababu

    Na Matilda Welin Makala mwandishi Je, ni lazima kuoga mara kwa mara? Baadhi ya wataalamu wanaamini kwamba kuoga kila siku kunategemea zaidi 'mkataba wa kijamii' kuliko mahitaji halisi. Miaka michache iliyopita, niliacha kuoga kila siku. Janga la Corona lilisababisha watu wafanyie kazi nyumbani...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania "Show me one country that the USAID was inn and education improved..." ''The African leaders shouldn't be beggers for peanuts"

  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mwamba huyu Historia Yake Haito sahaulika duniani kote Bingwa Wa Kung fu duniani Bruce Lee

    MWAMBA HUYU HAPA... BLUCE LEE alivunja rekodi ya dunia Mara 10 ndani ya miaka miwili tu.Bluce Alivunja rekodi ya dunia baada ya kupiga push up 2000 kwa kutumia vidole viwili vya mkono moja,kupiga Push up 15000 kwa mikono miwili bila kupumzika,Push up 4000 kwa mkono moja na Push up 1000 kwa...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Dawa Ya Nguvu Ya Kiume Ya Asili Kwa Wale Wenzangu Kwenye Mashindano Ya Kitandani usiku wanaofunga Goli Mapema haya chukuweni dawa hiyo Nimetoa Bure

    DAWA YA NGUVU YA KIUME aka Viagra Ya Asili Tafadhali kama wewe ni chini ya Umri wa Miaka 20 kaa Mbali dawa hii. Mwanume yeyote ambaye hutoa hudumu ya dakika 2 tu katika mashindano ya Kitandani na Mke baada ya kuchukua mchanganyiko huu usijali utaongezeka muda mpaka kufika dakika 30 Kumaliza...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Jamaa anaitwa Mohamed ameibiwa watoto 2 saa 12 jioni na mfanyakazi wa ndani Wilaya ya Temeke

    Atakaye waona ampigie simu Mr Mohamed kwa namba hii hapa 0744555574. BREAKING NEWS: Alhamdulillahi Watoto Wamepatikana Wapo Polisi Mama yao ameshakwenda kuwaona wanapelekwa hospitali kupimwa afya zao.
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Moto Mkubwa unawatesa Wamarekani wa Jimbo la California

    Tizama dunia hii. James Woods, muigizaji maarufu wa Hollywood ambaye alishabikia Wapalestina wote wa Ghazza wateketezwe, Mungu kamtahini kwa kuunguliwa na nyumba yake katika moto mkubwa unaoendelea kuiteketeza California, sasa analia kama mtoto mdogo! Ama kweli mzigo wa mwenzio ni kanda la usufi
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Askari Huyu Mwanamke Alivyoituliza Kata iliyoshindikana Kilosa Hawaelewi Sheria

    https://www.youtube.com/watch?v=tWtw3Di53L4&ab_channel=MillardAyo
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania BREAKING NEWS: Maradhi Mapya ya Virusi vya Mafuwa nchini china yameibuka.Kwa Jina Yanaitwa HMPV-Virus Na Hayana chanjo Tujiabdae kuva Barakoa Tena

    A NEW CHINESE VIRUS LOOM. HUMAN METAPNEUMOVIRU OR HMPV OUTBREAK. HMPV HAS NO VACCINE SA OF NOW BAADA YA MIAKA 5 YA KORANA VIRU KUTOKEA NCHINI CHINA SASA KUMEREPUKA VIRUS MPYA INAYOITWA KWA JINA (HMPV) NCHINI CHINA DALILI YA MARADHI HAYA MAPY NI INAYOSABABISHA USHINDWE KUPUMUWA VIZURI , MAFUA...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Katuni yangu ya leo asubuhi

  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mtu Ni Sumu Mchungaji afumaniwa akimla Mke wa Mtu

    HUYU SASA NADHANI ALIKUWA AMEKUJA KUFANYA MAOMBI TAKAKITU NA TAKATIFU MAOMBI TAKAKITU IKAFAULU TAKATIFU PIA.
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Hatari kweli

    Kama una ndugu yako yupo Msumbiji mwambie aondoke haraka sana hali sio nzuri . Hao wote utakaowaona kwenye video walifariki kwa kupigwa risasi. Kama unampango wa kwenda Msumbiji basi jua hii ndio hali halisi.
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Kondoo kwa binadamu huwa hana urafiki kabisa

    Wakati wa likizo huu, Mkiwapeleka watoto kijijini wakumbusheni kuwa maisha ya kule sio play station, kila kitu ni live😂😂😂😂🏃🏾
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mbegu za Mbono Kinga dhidi Ya Maradhi ya Majipu

    MBEGU ZA MBONO AU MNYONYO Mara nyingi katika mada zangu nimekuwa nikizungumzia namna ya kutibu maradhi mbalimbali yanayomkwamisha mwanadamu kushiriki ipasavyo kazi za ujenzi wa taifa. Tiba ninazozungumzia ni zile asili zisizoacha athari mbaya kwenye mwili wa mgonjwa. Leo nimeona nizungumzie...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Video: Tembo aliyechoka kuteswa aamua kulipiza kisasi

  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Sababu ya maambukizi (infection) ya sikio kwa watoto

    MAAMBUKIZI au Infection ya masikio ni tatizo kubwa kwa watoto, sikio limejigawa sehemu kuu tatu ya ndani, nje na kati. Matatizo mara nyingi yanashambulia sehemu ya kati ya sikio (Otitis media) inashambulia watoto wachanga na watoto wadogo na nyingine ni sehemu ya ndani ya sikio (Otitis...
Back
Top Bottom