Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
920
2,260
Tunadhani hii case closed!

Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM.

Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa maagizo mazito. Wengi wamehoji mipaka yake ya kazi kama Katibu wa H/K Itikadi na Uenezi.

Akiwaapisha Wakuu wa Mikoa leo Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "utakuta mambo yanaharibika, haki za watu zinadhulumiwa, pesa zinatumika hovyo, yani mpaka Paul Makonda apite ayagundue ndipo yatatuliwe. Makonda ameyabaini mengi sana. Sasa msisubiri mpaka Makonda apite ndipo muwajibike".

Kwa kauli hii kila mtendaji wa Serikali na viongozi wote wa chama mtambue kuwa sauti ya Makonda ni ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa maneno mengine Paul Makonda ni Bosi wenu wote na ndio maana alimwagiza hata Waziri Mkuu na Makamu wa Rais.

Case closed!
 
Makonda dubwana la mama linamfanyia kazi wnayoitaka wale watendaji wa serikali ambao Kila siku wanafoka Leo mmejionea wenyewe sasa nendeni mkakalie viti Tu bila kuwahudumia wananchi kero zao
 
Tunadhani hii case closed!
Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM.

Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa maagizo mazito. Wengi wamehoji mipaka yake ya kazi kama Katibu wa H/K Itikadi na Uenezi.

Akiwaapisha Wakuu wa Mikoa leo Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "utakuta mambo yanaharibika, haki za watu zinadhulumiwa, pesa zinatumika hovyo, yani mpaka Paul Makonda apite ayagundue ndipo yatatuliwe. Makonda ameyabaini mengi sana. Sasa msisubiri mpaka Makonda apite ndipo muwajibike".

Kwa kauli hii kila mtendaji wa Serikali na viongozi wote wa chama mtambue kuwa sauti ya Makonda ni ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa maneno mengine Paul Makonda ni Bosi wenu wote na ndio maana alimwagiza hata Waziri Mkuu na Makamu wa Rais

Case closed!
daaah hapo mwishon hapo daah kumbe alishawahi mwagiza waziri mkuu na makamu wa raisi daaah
 
Chadema watajinyonga kwa wivu juu ya Makonda
Acha upumbavu mkuu,muda mwingine onyesha kuwa unalipa jukwaa hili heshima yake,elewa center of power IPO Lumumba street na sio Magogoni,chama ndicho kinachounda serikali NOT otherway round,yes katibu mwenezi wa kitaifa wa ccm ana uwezo wa kumwita PM ofisini na kuhoji utekelezaji wa sera za chama ,PM ni deployed kada wa ccm,CDM inakuja na kimbunga kikali kitakachoibadili nchi within 100 days za utawala wake,chaguzi za mwaka huu hapa Africa zinakuja na mabadiliko makubwa,kuanzia anc wanawekwa pembeni,then ccm nao pia,chama la mafisadi (prove me wrong)
 
Una upumbavu wa hali ya juu sana kichwani mwako
 
Akiwaapisha Wakuu wa Mikoa leo Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "utakuta mambo yanaharibika, haki za watu zinadhulumiwa, pesa zinatumika hovyo, yani mpaka Paul Makonda apite ayagundue ndipo yatatuliwe. Makonda ameyabaini mengi sana. Sasa msisubiri mpaka Makonda apite ndipo muwajibike".
Yule DED wa Katavi aliyeambiwa ajiuzulu mbona kapewa Shavu lingine?

Dr Samia naye anatuzuga tu.
 
Tunadhani hii case closed!
Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM.

Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa maagizo mazito. Wengi wamehoji mipaka yake ya kazi kama Katibu wa H/K Itikadi na Uenezi.

Akiwaapisha Wakuu wa Mikoa leo Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "utakuta mambo yanaharibika, haki za watu zinadhulumiwa, pesa zinatumika hovyo, yani mpaka Paul Makonda apite ayagundue ndipo yatatuliwe. Makonda ameyabaini mengi sana. Sasa msisubiri mpaka Makonda apite ndipo muwajibike".

Kwa kauli hii kila mtendaji wa Serikali na viongozi wote wa chama mtambue kuwa sauti ya Makonda ni ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa maneno mengine Paul Makonda ni Bosi wenu wote na ndio maana alimwagiza hata Waziri Mkuu na Makamu wa Rais

Case closed!
Wapi alimwagiza vp acha hizo
 
Chadema watajinyonga kwa wivu juu ya Makonda
Hakuna kitu kama hicho ,wivu nae unatoka wapi , sema tu kwa kauri hii ya rais ,asidhani wanaccm wenzake pamoja na wateule wake wanaomsaidia kazi kama wameifurahia hata ingekua mimi, ni mda wamwachie Mackonda afanye kazi zote.

Inauma sana
 
Back
Top Bottom