Habari wana JF,
Kwa wale wazee wenzangu, watakubaliana na mimi kwamba wanachuo wa siku hizi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wamepoa sana na wengi wao hawajiamini kulinganisha na wale wa miaka ya...
January Makamba ameishi maisha mazuri toka utotoni si kwa sababu alikuwa bora kuliko wengine bali baba yake alitumia madaraka yake kumfanya aishi kwa rasilimali za nchi. Tukumbuke familia hii...
Nafasi ya Naibu waziri Mkuu imewekwa kumsaidia Waziri Mkuu kiwa na nguvu Zanzibar tofauti na sasa ambapo majukumu yake yanakwama kuvuka maji
Ameteuliwa Biteko kama chokoza ujuvi kupisha kuteuliwa...
Leo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Biteko atakutana na kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO makao makuu Ubungo.
Jamaa zangu ambao ni wafanyakazi hapo wanasema Makamba amekua waziri...
Umuofia kwenu....!
Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua...
Wakili Boniface Mwabukusi yuko Mahabusu kwa siku kadhaa sasa kwa kosa la kupigania haki za Watanganyika kuzuia Bandari zake kuuzwa kwa Mwarabu.
Mwabukusi anakuwa Mtanzania wa kwanza wa kizazi cha...
Kuna Mazingaombwe yametokea, kuna upungufu wa Umeme na ratiba ya mgao imetolewa na tayari watu wamezoea kushinda bila Umeme,nimeulizia jenerator la lita 3 ilimradi niweze kupiga hata photocopy...
Tuesday, September 19, 2023
Utafiti wa Mradi wa EFLOWS waonesha maji yanapungua kwenye mito
https://m.youtube.com/watch?v=BLG0zKicKV0&pp=ygUORUZMT1dTICBNYmV5YSA%3D
Wadau wa maji wa mto Mbarali...
Nakushauri iyo wizara ukiendeleza uliyoyakuta mwaka hautaisha utatolewa.
Ili kurudisha ufanisi kwenye hii wizara yenye kashifa ya ufisadi
Nakuomba
Timua MD wa Tanesco
Timua Manejement yote...
Ameharibu kabisa mfumo wetu wa kujipatia huduma za umeme na ule wa mafuta.
Mkurugenzi na waziri hawakutakiwa kupatiwa tena nafasi maana wameharibu hata kile walichokikuta.
Mtu akiharibu fukuza...
Katika eneo ambalo CCM na serikali yake ina upiga mwingi kwa msemo wa machawa na wafuasi wake ni kwenye uteuzi na utenguzi.
Hii ni moja ya sera yao ambayo hakunadiwa katika ilani yao lakini...
Ningependa ufahamu magumu wanayopitia watumishi walioko chini ya OR-Tamisemi hususani kada za
1. Elimu
2. Afya
3. Watendaji wa Serikali za mitaa
Hawa wanapitia mateso makubwa hususani wale wa...
Halmashauri zinaishi kama Idara na Wizara zinavyoishi. Nimeona mawazo na mtizamo wa Mhe. Waziri Mkuu kuhusu udhibiti wa fedha za umma. Namwomba atoe maelekezo kwa wizara na Idara ziwasilishe kwake...
Akiwasilisha taarifa ya serikali naibu waziri wizara ya fedha Mwigulu Nchemba jumapili mbele ya kamati ya bajeti, alisema uhakiki wa takwimu hizo umebaini kuwa hesabu zote ni sahihi, na kwamba...
Haiwezekani Kwa miaka 2.5 ya Rais Samia aliyowapa dhamana ya Nishati na kuwawesesha ila Wamefanikiwa kuongeza megawatts ambazo ni pungufu ya 300 kwenye grid ya Taifa.
Mojawapo ya shida kubwa...
Katika hali ya kustaajabisha, maafisa na wafanyakazi wa kawaida wa Kampuni ya Umeme Tanzania (TANESCO) walirukaruka kwa furaha baada ya kusikia na kujua uhamisho wa aliyekuwa Waziri wa Nishati...
Nchi ina wizara na idara nyingi sana.Pamoja na umuhimu wa kila moja lakini kuna idara tatu ni muhimu zaidi katika kuitawala nchi.Hizo hizo ndizo zinazotumiwa na wapinzania wanapotaka kumletea...
Aisee hivi ni kweli tanzania wasomi na watu wenye akili zao wameisha mpaka kila siku hizi teuzi za mchongo za raisi ni za watu wale wale wa kuhamishwa sehemu za kuramba asali.Mtu anaharibu huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.