Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya UKIMWI Wilayani Chato

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,397
3,902
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI WILAYANI CHATO.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Stanslaus Nyongo leo tarehe 16 Machi, 2024 wamezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli.

Kamati hii ipo Wilaya ya Chato kwa ukaguzi wa Hospitali ya Mkoa na Gereza la Chato.
 
So what?
 
Back
Top Bottom