Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wazungu wamekuwa wakitupiwa lawama kwa kiasi kikubwa kwamba wanafanya njama za kuinyonya na kuididimiza Africa lakini uhalisia unakataa kwa kuangalia mambo kadhaa. 1. Uagizaji wa magari kutoka...
17 Reactions
137 Replies
6K Views
Panga pangua inaendelea ndio nauliza katika maadhimisho ya Miaka 3 ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan hatuwezi Kupata Baraza jipya la Mawaziri? Ni hilo tu Ramadan Mubarak 😄🔥
0 Reactions
1 Replies
443 Views
Nimpongeze Karibu Mkuu aliyetanguliwa wa Wizara ya Mambo ya Ndani mdogo wetu Gaspar Mamuya kwa utumishi wa kukumbukwa katika wizara hiyo. Huyu Bwana niliwahi kukutana naye kwenye mgogoro flani wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sasa ni ukweli usiofichika kuwa mabilionea ndio wenye haki CHADEMA. Twende pamoja. Hivi karibuni kumekuwepo hisia nyingi kuhusu uwenyekiti wa jabali la siasa Mzee Mbowe [Dj mstaafu na mlinzi...
7 Reactions
62 Replies
3K Views
Dawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Jionee Mwenyewe. Huyu mother hakwepeshi maneno
42 Reactions
108 Replies
9K Views
Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi Watanzania...
4 Reactions
16 Replies
867 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ndio habari kuwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI WILAYANI CHATO. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Stanslaus Nyongo leo tarehe 16 Machi...
0 Reactions
2 Replies
508 Views
08 December 2023 Arusha, Tanzania 16th Joint Transport Sector Review Meeting Hayo yamejiri leo katika mkutano wa 16 unaohusisha wadau wa sekta ya Uchukuzi ukiotayarishwa kwa pamoja baina ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Sisi Wananchi wa Mbezi Msumi Shina Namba 7 kuna Mjumbe anaitwa Michael Meshack Mnyeke, asilimia kubwa ya Wananchi wa huku hatumtaki kutokana na tabia yake ya kuonea watu na kutumia madaraka yake...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Huu mradi katika ukanda wa kati njia hii kutoka Cairo mpaka captown utapitia dsr es salaam nomba kujua mikoa mengine. Hii hapa nimepata nchi itakamo pita.
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeisisitiza Serikali kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi wazawa katika utekelezaji wa miradi na kuendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto za Wakandarasi hao...
2 Reactions
12 Replies
786 Views
Hongera Rais Samia. Ila mawaziri acheni kutukuza sana kaz za Rais. Hapo tumia maneno ya kumuombea Mh Rais. Kwenye elimu maafisa elimu wana shida ni kama miungu watu. MCHENGERWA fuatilia maafisa...
1 Reactions
7 Replies
716 Views
Wakazi wa Ngorongoro wamefurahishwa na tukio la kuzuiwa kwa Mwanaharakati Joseph Moses Oleshangay anaeishi jijini Arusha aliyeanzisha harakati za kujitawaza kuwa Laigwanan wa jamii ya kimasai...
0 Reactions
2 Replies
587 Views
Mbunge wa Mchinga mkoani Lindi mama Salma Kikwete amelazimika kutumia usafiri wa bodaboda kuweza kuwafikia Wapiga kura wake walioathiriwa na Mafuriko jimboni kwake Mama Kikwete amekuwa Mbunge wa...
12 Reactions
92 Replies
7K Views
Tanzania imependekeza Uwepo Mdahalo wa Wagombea wa Nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Africa Mdahalo huo utawezesha nchi Wanachama kutambua Maono ya Wagombea watakaochaguliwa...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Huyu bwana ni Moja ya Wakuu wa Mikoa makini sana niliwahi kuwaona Toka Akiwa DC ila bahati mbaya sana inaonekana Ukiwa huko Serikalini hutakiwi kufanya kazi Kwa umakini. Wengine ambao wanaweza...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Dar ni mjini, na eti kuzaliwa mjini ni sawa na kuhitimu form six? Basi wana Darisalama watakuwa na masters kutokana na hotuba za kisomi za Chalamila. Kwa siku za karibuni nimekuwa nikifuatilia...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amehudhuria Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) 2023 linaloendelea Jijini Dar es Salaam. Tanzania imepata bahati nyingine tena ya kuaminiwa kwa kuwaleta...
7 Reactions
13 Replies
825 Views
Back
Top Bottom