Ally Gugu Katibu Mkuu WMNN ni nani na ana uzoefu gani katika medali za siasa na mipango ya uchaguzi?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Nimpongeze Karibu Mkuu aliyetanguliwa wa Wizara ya Mambo ya Ndani mdogo wetu Gaspar Mamuya kwa utumishi wa kukumbukwa katika wizara hiyo. Huyu Bwana niliwahi kukutana naye kwenye mgogoro flani wa taasisi za dini, alitoa ushauri kama mzazi na hakuwa na majivuno.

Pamoja na hayo wizara ilitulia sana na kelele za kubambikiwa kesi watu zilipungua. Nidhamu ya polisi ilikuwa kubwa na hatukuona makaripio au kutunishiana misuli kwenye vyombo vya habari.

Upole wake sidhani kama ungemwacha atulie katika wizara hiyo kuelekea uchaguzi. Kipindi cha uchaguzi ndipo wizara ikabidhiwa watu wa vurugu na wanaoweza kusimamia yasiyoweza kusimamiwa

Katibu Mkuu mpya wa wizara ya mambo ya ndani ni nani? Amewahi kufanya kazi maeneo gani na ufanisi wake upoje? Je ameteuliwa kama mwana mtandao wa goli la mkono au anakwenda kusimamia uchaguzi wa haki?
 
Matatizo mengi yapo ngazi za huku chini kabisa kwa wananchi na utakuta kiongozi wa juu kupata taarifa kwa wakati sahihi inakuwa ni vigumu.
 
Nimpongeze Karibu Mkuu aliyetanguliwa wa Wizara ya Mambo ya Ndani mdogo wetu Gaspar Mamuya kwa utumishi wa kukumbukwa katika wizara hiyo. Huyu Bwana niliwahi kukutana naye kwenye mgogoro flani wa taasisi za dini, alitoa ushauri kama mzazi na hakuwa na majivuno.

Pamoja na hayo wizara ilitulia sana na kelele za kubambikiwa kesi watu zilipungua. Nidhamu ya polisi ilikuwa kubwa na hatukuona makaripio au kutunishiana misuli kwenye vyombo vya habari.

Upole wake sidhani kama ungemwacha atulie katika wizara hiyo kuelekea uchaguzi. Kipindi cha uchaguzi ndipo wizara ikabidhiwa watu wa vurugu na wanaoweza kusimamia yasiyoweza kusimamiwa

Katibu Mkuu mpya wa wizara ya mambo ya ndani ni nani? Amewahi kufanya kazi maeneo gani na ufanisi wake upoje? Je ameteuliwa kama mwana mtandao wa goli la mkono au anakwenda kusimamia uchaguzi wa haki?
si ungeombea na huyu nae ukutane nae kwenye mgogoro sijui ya kidini ama nini 🐒

serikali n chama cha Mapinduzi ina hazina tele ya vijana kwa wazee wenye taaluma na weledi wa katika kila kada, ndio maana ukimesup unakua replaced on the spot bila mbambamba🐒

Mteule ni mchapakazi hodari, makini na mahiri sana kiutendaji, hajawahi kufanya vibaya au chini ya kiwango katika nafasi zote alizowahi kuzishika🐒

Wizara imepata mtu sahihi, mwana mipango, mwana mikakati, mbunifu na mchapakazi wa kweli kwa wakati muafaka sana , ni suala la muda tu 🐒
 
Back
Top Bottom