Kwa vijana wa sasa mnamjua Kheri James kwamba hanaga mbambamba.
Kokote atakako elekeza mpira ndio litahesabika goli hata kama ni mashariki mwa uwanja sehemu isiyo na milingoti ya magoli yenyewe...
Nitaanzia ziara yangu Chongoleani kwenye bomba la mafuta ghafi mkoani Tanga.
Nitakwenda Mererani halafu.
Nitapita daraja la mto Wami nitaingia Dar nitakwenda moja kwa moja na kupita barabara ya...
Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake.
Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo...
''Natamani malaika ashuke azime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka 1 ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga''. Ni kauli ya Rais Magufuli.
Ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa...
Rais Magufuli amehoji hivi...
Je, nikiondoka leo reli itajengwa?
Je nikiondoka leo ndege zitanunuliwa?
Je nikiondoka leo vituo hivi vya Afya vitajengwa?
Mbona havikujengwa huko nyuma?Niondoke...
Tizama Video hapa chini👇
https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
Kuna muda maswali mengi huibuka na kujiuliza awamu ya tano kuna usiri wa mikopo ulikuwepo ndani ya miaka mitano.
Hayati Magufuli alikopa Trilioni 39 wote tunaona alinunua ndege, SGR, bwawa la...
Rais wetu wa Jamhuri tukufu ya Tanzania Hayati John pombe Magufuli, u hai.
U hai kwasababu Watanzania haipiti siku bila kukutaja kwa mema na kazi yako nzuri.
Rais wangu leo hii tarehe 17.03.2024...
MIAKA MITATU YA SAMIA NA UKWAPUAJI WA MATRILIONI YA PESA ZA WALIPA KODI.
Na Mwandishi wetu
5 November 2023. 23:05 Botswana
🔹Nimekuwa nikisema mara nyingi Uongozi makini ni ule uongozi...
Marekani inatoa msaada wa chakula wa zaidi ya dola bilioni 1 kwa mwaka kwa nchi za Horn of Africa (Djibouti, Eritrea, Ethiopia na Somalia)
Sudan,
Marekani inatoa msaada wa chakula kwa watu...
Hakuna hata waziri mmoja aliyepeleka ripoti ya utendaji kazi mpk sasa. Yupo waziri fulani yeye aliamua kumtemea mbovu Makonda kwa kusema kuwa "kuna watu 4 tu wanaoweza kumuamrisha nchi hii"...
Serikali yote ni ya CCM, walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli, petroli...
Kuna mjadala wa kuletewa msaada wa mchele na nchi ya Marekani na walengwa ni vijana wetu walioko mashuleni.
Kwa bahati mbaya kizazi hiki hakina uwezo wa kuhoji na wazazi wao wamekuwa machawa...
Waziri aliyepokea msaada wa chakula hicho naona ajiuzuru Tanzania hatuna shida ya chakula hasa mchele na alizeti ambavyo vimetoka Marekani.
NI aibu sana kwa taifa kuomba msaada wa chakula huku...
NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO MAMA UMETUSHINDIA
Na Yericko Nyerere
Hureeeeee vita vyetu kwa maslahi ya Taifa tumeshinda! Asante Rais Mama Samia suluhu Hassan, nilimpinga Magufuli alipositisha mradi...
[emoji841]Magufuli kwa miaka 5 aliyokaa madarakani alikopa trillion 37 akajengea SGR, bwawa la Nyerere, akanunua ndege, Kijazi interchange ubungo na 6 way mpaka Mbezi mwisho.
Magufuli hata kama...
At least Kwa shule za msingi tumejitahidi kidogo walahu kila kijiji kuna shule ila Kwa upande wa sekondari bado kuna changamoto kubwa naona wanafunzi wakitembea umbali mrefu kuzifuata shule ni...
Kumekuwa na matamko tata kutokea LATRA kuhusu magari yenye namba D na E kufanywa ndiyo yaliyo magari pekee.
Hali hii si ya kuvumiliwa hata kidogo. Kesho itakuwa gari kuingia Dar na labda hata...
Waziri Bashe ameongea kuhusu msaada wa mchele na mafuta kama vile yeye siyo waziri mwenye dhamana. Anaonyesha kushtushwa na mchele huo na mafuta kuingizwa nchni.
Je, kama sovereign state...
Tundu lissu anaeleka ACT wazalendo kujiandaa kuchukua nchi 2025, ninaamini kabisa kama Mungu akituruzuku uhai Lissu akiungana na akina Ismail Jussa, Lema, Babu Duni, Othman na vijana kama Nondo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.