Je, tunaweza kupata Baraza Jipya la Mawaziri 19/03/2024?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Panga pangua inaendelea ndio nauliza katika maadhimisho ya Miaka 3 ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan hatuwezi Kupata Baraza jipya la Mawaziri?

Ni hilo tu

Ramadan Mubarak 😄🔥
 
Back
Top Bottom