NHIF kwa orodha hii ya dawa ambazo hazimo kwenye kitita chenu ni dhahiri hamna nia njema ya kuwasaidia Watanzania

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Dawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hizi
Screenshot_20240315-202505.jpg
Screenshot_20240315-202525.jpg
Screenshot_20240315-202547.jpg
kkw
Screenshot_20240315-202604.jpg
 
Dawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hiziView attachment 2935632View attachment 2935633View attachment 2935634kkwView attachment 2935635
Niweke wazi nimekua kwenye gemu (industry) muda Sasa....

Kuna dawa NHIF wame quote Bei za Chini Sana kuliko real market price na nyingine kuondolewa...

Hii inaenda kupunguza uwezo wa baadhi ya vituo vya afya na kupoteza wateja na maokoto kushuka..
 
NHIF walishajibu hilo.

Dawa mbadala za bei nafuu zimereplace hizo dawa ghali ili kusaidia mfuko kuwa na hela nyingi za kuwakopesha watumishi wake bila riba .
Bima ya afya haitakiwi kuwa kikoba ni basi tuu hii nchi ina umavi mavi mwingi bima ya afya inakuwaje kikoba cha kukopeshana tena hadi wanaondoa lengo la msingi la kupunguza gharama za matibabu kwa watu wanao changia ,
 
Sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Nimeshangaa nilipokuta eti kukiopesha bila riba. Utakopeshaje bila ribi wakati sh inaanguka kila siku?
 
Kimsingi kwenye suala la afya serikali haiko serious. NHIF ni kichaka cha upigaji. Mheshimiwa Rais nakusihi piga chini kuanzia Ummy Mwalimu na wote wanaomshauri upuuzi. Mkurugenzi wa NHIF na genge lake wote tumbua na kama kuna hela wamepiga wazawadiwe kesi ya uhujumu uchumi.
 
Dawa zote muhimu kwa wananchi wa mijini na vijijini hazimo kwenye orodha ! Hata bomba za sindano na plasta na antibiotic karibia zote hazipo kwenye kitita sasa mnamalengo gani? Oneni wenyewe picha hiziView attachment 2935632View attachment 2935633View attachment 2935634kkwView attachment 2935635
Wahuni tu binfsi nalipaga kila mwezi na familia yangu ila sijui kama hata gharama ya robo huwa inafikiwa je tuko wangapi tz hii mpaka sema mfuko hauna pesa wizi tu
 
Back
Top Bottom